Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Umeme-wa-Mashariki. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Umeme-wa-Mashariki. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 3 Februari 2019

Wale tu Walio Watulivu Mbele ya Mungu Ndio Wanaolenga Maisha

Wale tu Walio Watulivu Mbele ya Mungu Ndio Wanaolenga Maisha I Wale ambao wanaweza kuwa na utulivu kweli mbele ya Mungu ni wale ambao wanaweza kuwa huru kutokana na mahusiano ya kidunia, na wanaweza kumruhusu Mungu akae ndani mwa...

Jumamosi, 2 Februari 2019

Hakuna Ayejali Kumwelewa Mungu kwa Utendaji

I Mungu akikasirika, Anamkabili mwanadamu asiyemsikiliza kwa makini Yeye, ambaye anamfuata, anayedai kumpenda, bado hupuuza Anachohis...

Ijumaa, 1 Februari 2019

Viumbe wa Mungu Wanapaswa Kutii Mamlaka Yake

I Mungu ni moto unaoangamiza ambaye hawezi kustahimili kosa. Mwanadamu hana haki ya kuingilia kati au kukosoa kazi na maneno Yake, lazima ayatii, kwa sababu mwanadamu aliumbwa na Yey...

Alhamisi, 31 Januari 2019

Umeme wa Mashariki | Unapaswa Kuyaacha Yote Kwa Ajili Ya Ukweli

Umeme wa Mashariki | Unapaswa Kuyaacha Yote Kwa Ajili Ya Ukweli I Lazima upitie mateso katika njia yako kuelekea kwenye ukweli. Lazima ujitolee mwenyewe kabisa. Uvumilie aibu, ukubali mateso zaidi. Kufanya hivi ili kupata ukweli zaid...

Jumanne, 29 Januari 2019

Kutenda Ukweli Kunahitaji Gharama ya Kweli

I Taabu zinapokuja, anza kuomba: "Ee Mungu! Ningependa kukuridhisha Wewe, kustahimili taabu ili kuufurahisha moyo Wako, bila kujali ukubwa wa taabu ninazokabil...

Jumatatu, 28 Januari 2019

Mungu Anatengeneza Kesho Nzuri Zaidi kwa Binadamu

Juu ya hao wakulima wa Kanaani ambao wanakaribisha kurejea kwa Mungu, Anatoa matunda Yake mazuri na anatamani tu mbingu na mwanadamu kuishi milele, na mwanadamu kuishi milel...

Jumamosi, 26 Januari 2019

Jinsi Mwanadamu Anavyopaswa Kutembea Katika Njia ya Mungu

I Kutembea katika njia ya Mungu hakuhusu kufuata sheria. Kunahusu kuona vitu vyote kama vilivyopangwa na Mungu, jukumu lililowekwa kwako, kitu kilichoaminiwa kwako, majaribu yaliyotolewa na Yeye. Kutembea katika njia ya Mungu. Mwenye hadhari kutomkasirisha Mungu Mwenyewe kamw...

Alhamisi, 24 Januari 2019

Washindi Ni Wale Wanaotoa Ushahidi Mkubwa kwa Mungu

I Imani kwa Mungu inahitaji utiifu, uzoefu wa kazi ya Mungu. Ametenda mengi sana; kazi Yake yote ni kukamilisha, usafishaji, kuadibu, sio kile ambacho mwanadamu anataraji...

Jumatano, 23 Januari 2019

Tafuta Kumpenda Mungu Bila Kujali Mateso Yako Ni Makubwa Vipi

I Lazima uelewe ilivyo ya thamani kazi ya Mungu leo. Watu walio wengi hawana ufahamu huo, wakifikiria mateso hayana thamani: Wanateswa kwa ajili ya imani yao, wamekataliwa na dunia, nyumba zao pia zina shida, siku zao za usoni hazina matumaini, hazina matumain...

Jumanne, 22 Januari 2019

Binadamu wa Asili Walikuwa Viumbe Wanaoishi Walio na Roho

I Hapo mwanzo Mungu aliumba binadamu. Yaani, Aliumba baba wa binadamu Adamu, aliyegusika na kuumbwa kikamilifu, aliyejaa uzima. Adamu aliamka na utukufu wa Mungu ukimzunguka. Kisha Mungu akamuumba mwanamke wa kwanza—Haw...

Jumatatu, 21 Januari 2019

Nyimbo za dini | Muige Bwana Yesu

Nyimbo za dini | Muige Bwana Yesu I Yesu alikamilisha misheni ya Mungu, kazi ya ukombozi ya kila mwanadamu kwa kutoa kujali Kwake kwa mapenzi ya Mungu, bila madhumuni au mipango ya ubinafsi. Katikati Aliweka mpango wa Mung...

Jumamosi, 19 Januari 2019

Nyimbo za injili | Athari ya Maombi ya Kweli

Nyimbo za injili | Athari ya Maombi ya Kweli I Tembea katika uaminifu, na kuomba kwamba utaondoa udanganyifu mkubwa ndani ya moyo wako. Omba, kujitakasa mwenyewe; omba, uguswe na Mungu. Kisha tabia yako itabadilishw...

Ijumaa, 18 Januari 2019

Ni Wale Wanaokubali Ukweli Tu Ndio Wanaweza Kuisikia Sauti ya Mungu

I Palipo na kuonekana kwa Mungu, kuna maonyesho ya ukweli na sauti ya Mungu. Ni wale tu wanaokubali ukweli ndio wanaweza kusikia sauti ya Mungu na kushuhudia kuonekana Kwak...

Ifuate Kazi Mpya ya Roho Mtakatifu na Kupata Sifa ya Mungu

I Lo … lo … lo … Kuifuata kazi ya Roho Mtakatifu kunamaanisha mtu huelewa mapenzi ya Mungu ya leo, hufanya kulingana na matakwa ya Mungu, humfuata Mungu wa leo, hutii mahitaji Yake ya sasa na huingia kwa maneno Yake mapya zaid...

Alhamisi, 17 Januari 2019

Ni kwa Kumcha Mungu tu Ndiyo Uovu Unaweza Kuepwa

Tabia ya Mungu ni adhimu na ya ghadhabu. Yeye si mwanakondoo achinjwe na yeyote. Yeye si karagosi, linalochezewa na yeyote anavyopenda. Wala Yeye si hewa, inayoamriwa na watu pot...

Jumatano, 16 Januari 2019

Nyimbo za dini | Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee

Nyimbo za dini | Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee I Mungu huonyesha tabia Yake ya haki kupitia mbinu na kanuni za pekee, haidhibitiwi na watu, matukio au vitu. Na hakuna awezaye kubadili fikira au mawazo Yake, au kumhimiza Atumie namna nyingin...

Jumanne, 15 Januari 2019

Nyimbo za dini | Mungu Anatarajia Kupata Imani ya Kweli Ya Mwanadamu na Upendo Kwake

Nyimbo za dini | Mungu Anatarajia Kupata Imani ya Kweli Ya Mwanadamu na Upendo KwakeI Mungu anatarajia unapoelewa, unapoelewa upande Wake wa kweli, utamkaribia Yeye hata zaidi; utathamini kwa kweli upendo Wake na kujali Kwake kwa binadamu; utatoa moyo wako Kwake, bila kuwa na shaka tena, bila kuwa na tuhuma kumhus...

Jumatatu, 14 Januari 2019

Maneno ya Mungu ni Njia Ambayo Mwanadamu Anapaswa Kufuata

I Katika kila enzi, Mungu anapofanya kazi Yake duniani, kila mara Yeye hutoa maneno juu ya wanadamu, Huwaambia ukweli fulani. Ukweli huu hutumika kama njia ambayo mwanadamu anapaswa kuzingatia, njia ambayo mwanadamu anapaswa kufuata Ni njia inayomwelekeza mwanadamu kumcha Mungu na kuepuka maovu, na kitu katika maisha yao, na katika safari ya...

Jumapili, 13 Januari 2019

Umeme wa Mashariki | Njia ya Kujua Mamlaka ya Mungu

Umeme wa Mashariki | Njia ya Kujua Mamlaka ya Mungu I Ujuzi wako wa mamlaka ya Mungu, nguvu Zake, utambulisho na kiini haviwezi kufanikishwa au kupatikana kutokana na mawazo yak...

Ijumaa, 11 Januari 2019

Matamshi ya Kristo | Kuwa Mtu Anayekubali Ukweli

I Eh~ Chagua njia yako mwenyewe, usikatae ukweli au kumkufuru Roho Mtakatifu. Usiwe mjinga, usiwe na kiburi. Tii mwongozo wa Roho Mtakatif...