Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maneno-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maneno-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 7 Julai 2019

Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Sehemu ya Saba"

 Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Sehemu ya Saba Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”. Maudhui ya video hii: Msiwe na Wasiwasi Wowote Kuhusu Majaribio ya Mungu Wale Wanaomcha Mungu na Kujiepusha Na Maovu Wanatazamiwa kwa Utunzwaji na Mungu, Huku Wale Walio Wajinga...

Jumamosi, 29 Juni 2019

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 110

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 110 Kila kitu kitakapofichuliwa utakuwa wakati ambapo Nitapumzika, na hata zaidi, utakuwa wakati ambapo kila kitu kitakuwa sawa. Mimi hufanya kazi Yangu binafsi; Mimi hupanga kila kitu na kusafidi kila kitu Mwenyewe. Nitakapotoka Sayuni na Nitakaporejea, wazaliwa Wangu wa kwanza watakapokuwa wamekamilishwa na Mimi,...

Ijumaa, 28 Juni 2019

Wimbo wa Dini “Watu Waaminifu Tu Ndio Wana Mfano wa Binadamu” | Asante kwa Upendo na Wokovu wa Mungu"

Wimbo wa Dini “Watu Waaminifu Tu Ndio Wana Mfano wa Binadamu” | Asante kwa Upendo na Wokovu wa Mungu Kwa ajili ya umaarufu na faida niliacha viwango vyote vya kutenda, na bila haya nikatumia udanganyifu kutafuta riziki yangu. Sikujali chochote kuhusu dhamiri au maadili, chochote kuhusu uadilifu au heshima. Niliishi tu kuridhisha tamaa na uroho wangu...

Jumatatu, 17 Juni 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | sura ya 119

  Matamshi ya Mwenyezi Mungu | sura ya 119 lazima nyote muelewe nia Zangu, nyote mnapaswa kuelewa hali Yangu ya moyo. Sasa ni wakati wa kujiandaa kurudi Sayuni, sina mawazo ya lolote isipokuwa hili. Mimi Ninatumaini tu kwamba Ninaweza kukutana nanyi siku...

Alhamisi, 13 Juni 2019

Kuingiza kwenye Njia ya Imani katika Mungu

Rongguang Mji wa Harbin, Mkoa wa Heilongjian Mnamo mwaka wa 1991, kwa neema ya Mungu, nilianza kumfuata Mwenyezi Mungu kwa sababu ya ugonjwa. Wakati huo sikujua kitu chochote kuhusu kumwamini Mungu, lakini jambo la kushangaza ni kwamba, wakati wa kula na kunywa maneno yaliyoonyeshwa...

Ijumaa, 24 Mei 2019

Maneno ya Mungu Yaliniongoza Kutoka Katika Matatizo

Maneno ya Mungu Yaliniongoza Kutoka Katika Matatizo Xiao Rui Mji wa Panzhihua, Mkoa wa Sichuan Nilipokuwa nikihubiri injili nilikutana na viongozi wa dini ambao walisema uongo ili kupinga na kuvuruga, na kuwaita polisi. Hili lilisababisha wale niliokuwa nikihubiria kutothubutu kuwasiliana nasi, na wale ambao walikuwa tu wameikubali injili kutoweza...

Jumapili, 12 Mei 2019

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu” Sehemu ya Kwanza

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu” Sehemu ya Kwanza Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”. Maudhui ya video hii: Kwa Kupinga Mungu kwa Ukaidi, Binadamu Anaangamizwa na Hasira za Mungu Kupotoka kwa Sodoma: Kunakasirisha...

Alhamisi, 9 Mei 2019

4. Umuhimu wa hukumu ya Mungu katika siku za mwisho unaweza kuonekana katika matokeo yaliyofanikishwa na kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho

III. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kazi ya Mungu ya Hukumu katika Siku za Mwisho 4. Umuhimu wa hukumu ya Mungu katika siku za mwisho unaweza kuonekana katika matokeo yaliyofanikishwa na kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho (1) Kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho inafanywa kumtakasa, kumwokoa na kumkamilisha...

Jumanne, 7 Mei 2019

3. Ni vipi kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho humtakasa na kumwokoa wanadamu?

III. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kazi ya Mungu ya Hukumu katika Siku za Mwisho 3. Ni vipi kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho  humtakasa na kumwokoa wanadamu? Aya za Biblia za Kurejelea: “Na iwapo mtu yeyote atayasikia maneno...

Jumamosi, 4 Mei 2019

4. Ni jinsi gani hatua tatu za kazi ya Mungu kwa pole pole huongeza uketo ili watu waokolewe na kukamilishwa?

II. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Wokovu wa Mungu kwa Wanadamu 4. Ni jinsi gani hatua tatu za kazi ya Mungu kwa pole pole huongeza uketo ili watu waokolewe na kukamilishwa? Maneno Husika ya Mungu: Usimamizi mzima wa...

Alhamisi, 2 Mei 2019

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemi ya Tatu

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemi ya Tatu Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”. Maudhui ya video hii: Uhuru: Awamu ya Tatu 1. Baada ya Kuwa Huru, Mtu Huanza Kupitia Ukuu wa Muumba 2. Kuwaacha Wazazi wa Mtu na Kuanza kwa Bidii Kuendeleza Wajibu Wako Kwenye...

Jumatano, 1 Mei 2019

1. Jua madhumuni ya hatua tatu za kazi ya usimamizi wa Mungu wa wanadamu

II. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Wokovu wa Mungu kwa Wanadamu 1. Jua madhumuni ya hatua tatu za kazi ya usimamizi wa Mungu wa wanadamu Maneno Husika ya Mungu: Mpango Wangu mzima wa usimamizi, mpango ambao una urefu wa...

Alhamisi, 25 Aprili 2019

5. Ni zipi tofauti muhimu kati ya Mungu mwenye mwili na hao watu ambao hutumiwa na Mungu?

I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu 5. Ni zipi tofauti muhimu kati ya Mungu mwenye mwili na hao watu ambao hutumiwa na Mungu? Aya za Biblia za Kurejelea: “Mimi nawabatiza na maji ili mtubu. Lakini yule ajaye baada ya mimi ni mwenye nguvu zaidi kuliko mimi, ambaye sistahili kuvichukua viatu vyake. Atawabatiza...

Jumapili, 21 Aprili 2019

1. Bwana Yesu Mwenyewe alitabiri ya kwamba Mungu angepata mwili katika siku za mwisho na kuonekana kama Mwana wa Adamu ili kufanya kazi

I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu 1. Bwana Yesu Mwenyewe alitabiri ya kwamba Mungu angepata mwili katika siku za mwisho na kuonekana kama Mwana wa Adamu ili kufanya kazi Aya za Biblia za Kurejelea: “Na ninyi pia muwe tayari: maana katika saa kama hii msiyofikiria kuwa Mwana wa Adamu atakuja” (Luka...

Ijumaa, 19 Aprili 2019

“Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)” Sehemu ya Tatu

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)” Sehemu ya Tatu Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”. Maudhui ya video hii: 3. Mzunguko wa Uhai na Mauti wa Watu Wanaomfuata Mungu Mwenyezi Mungu anasema, Baada ya hayo, hebu tuzungumzie mzunguko...

Jumatano, 17 Aprili 2019

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu” Sehemu ya Pili

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu” Sehemu ya Pili Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.  Maudhui ya video hii:  Ingawaje Hasira ya Mungu ni Fiche na Haijulikani kwa Binadamu, Haivumilii Kosa Lolote  Hasira ya Mungu Ni Usalama wa Nguvu...

Jumatano, 10 Aprili 2019

Kristo wa Siku za Mwisho | Sisitiza Uhalisi Zaidi

Kila mtu ana uwezekano wa kukamilishwa na Mungu, kwa hiyo kila mtu anapaswa kuelewa ni huduma gani kwa Mungu inayofaa zaidi makusudi ya Mungu. Watu wengi hawajui kumwamini Mungu humaanisha nini na hawajui kwa nini wanapaswa kumwamini Mungu. Yaani, watu wengi zaidi hawana ufahamu wa kazi ya Mungu au lengo la mpango wa usimamizi wa Mungu. Hadi leo,...

Jumapili, 31 Machi 2019

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)” Sehemu ya Tano

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)” Sehemu ya Tano Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”. Maudhui ya video hii: Shetani Hajawahi Kuthubutu Kukiuka Mamlaka ya Muumba, na Kwa Sababu Hiyo, Vitu Vyote Vinaishi kwa Mpangilio Mungu Pekee, Ambaye Anao Utambulisho wa Muumba,...

Alhamisi, 28 Machi 2019

Matamshi ya Mungu | “Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake” Sehemu ya Kwanza

Matamshi ya Mungu | “Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake” Sehemu ya Kwanza Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili...

Jumatatu, 25 Machi 2019

Wimbo wa kuabudu | Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

Wimbo wa kuabudu | Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu I Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, Kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, ni jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo la Mungu. Kwa maana asili yetu yote ilitoka...