Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwokozi Yesu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwokozi Yesu. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 12 Novemba 2017

Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake

1. Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake Kama mamia ya mamilioni ya wafuasi wengine wa Bwana Yesu Kristo, tunafuata sheria na amri za Biblia, kufurahia neema tele ya Bwana Yesu Kristo, na kukusanyika pamoja, kuomba, kusifu, na kuhudumu kwa jina la Bwana Yesu Kristo—na haya yote sisi hufanya chini ya utunzaji na ulinzi...

Jumapili, 5 Novemba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi

Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi Mwenyezi Mungu alisema, Mpango Wangu mzima wa usimamizi, ambao una urefu wa miaka elfu sita, unashirikisha awamu tatu, au enzi tatu: Kwanza, Enzi ya Sheria; pili, Enzi ya Neema (ambayo pia ni enzi ya Ukombozi); na...