Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kubadilisha-tabia-yangu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kubadilisha-tabia-yangu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 15 Mei 2018

39. Kutumia Neno la Mungu Kama Kioo

39. Kutumia Neno la Mungu Kama Kioo Wu Xia    Mji wa Linyi , Mkoa wa Shandong Baada ya kuikubali kazi hii na kula na kunywa neno la Mungu, ilikuwa dhahiri kwangu kwamba ni muhimu sana kwamba mimi nijifahamu. Kwa hiyo, nilipokuwa nikila na kunywa neno la Mungu, nilihakikisha nimejithibitisha tena dhidi ya neno ambalo Mungu humfichua...