Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo hekima. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo hekima. Onyesha machapisho yote
Jumapili, 30 Septemba 2018
Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Kumi

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Kumi
Mwenyezi Mungu alisema, Haupaswi kuwa na hofu ya hili na lile. Haidhuru wingi wa matatizo na hatari unazokabili, utabaki thabiti mbele Yangu; usizuiliwe na kitu chochote, ili mapenzi Yangu yaweze kufanyika....