Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo neno la Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo neno la Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 17 Desemba 2017

Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu

Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu | Matamshi ya Mwenyezi Mungu Katika kipindi kile ambacho Petro alikuwa na Yesu, aliona sifa nyingi za kupendeza ndani ya Yesu, hali nyingi zenye za kustahili kuigwa, na nyingi ambazo zilimkimu. Ingawa Petro aliona nafsi ya Mungu ndani...

Jumanne, 5 Desemba 2017

Umuhimu na Mazoezi ya Sala | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sura ya 34. Umuhimu na Mazoezi ya Sala Je, mnaomba vipi kwa sasa? Ni maendeleo kwa sala za kidini jinsi gani? Mnaelewa nini hasa kuhusu umuhimu wa sala? Je mmechunguza maswali haya? Kila mtu ambaye hafanyi sala ako mbali na Mungu, kila mtu ambaye hasali anafuata mapenzi...

Alhamisi, 30 Novemba 2017

Kuijua Kazi ya Mungu Leo

Kuijua Kazi ya Mungu Leo Mwenyezi Mungu alisema, Kuijua kazi ya Mungu katika nyakati hizi, kwa sehemu kubwa, ni kumjua Mungu katika mwili wa siku za mwisho, kile ambacho ni huduma Yake kuu, na kile ambacho Amekuja kufanya duniani. Hapo mwanzoni Nimesema katika maneno...

Jumanne, 28 Novemba 2017

Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anatumia neno ili kukaribisha enzi mpya, ili kubadilisha mbinu za kazi Yake, na kuweza kufanya kazi katika enzi nzima. Hii ndiyo kanuni ambayo Mungu hufanyia kazi katika Enzi ya...

Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya

Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya Mpango wa Mungu wa miaka elfu sita ya usimamizi unaelekea kikomo, na lango la ufalme limefunguliwa kwa wale ambao wanatafuta kuonekana kwa Mungu. Ndugu wapendwa, mnasubiri nini? Mnatafuta nini? Mnasubiri kuonekana kwa Mungu? Mnazitafuta...