Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 3 Septemba 2018
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Sitini
Septemba 03, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, neno-la-Mungu, Tamko-la-Sitini, VitabuNo comments
Si jambo rahisi kwa maisha kukua; yanahitaji mchakato, na aidha, kwamba muweze kulipa gharama na kwamba mshirikiane na Mimi kwa uwiano, na hivyo mtapata sifa Yangu. Mbingu na dunia na vitu vyote vinaanzishwa na kufanywa kamili kupitia maneno ya kinywa Changu na chochote kinaweza kutimizwa nami.
Ijumaa, 10 Agosti 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu Vitabu | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Saba
Agosti 10, 2018Hukumu, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments
Kanisa la Mwenyezi Mungu Vitabu | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Saba
Kwa kweli, maneno yote kutoka katika kinywa cha Mungu ni mambo ambayo wanadamu hawayajui; yote ni lugha ambayo watu hawajasikia, kwa hiyo inaweza kusemwa hivi: Maneno ya Mungu yenyewe ni siri. Watu wengi kwa kutojua wanaamini kwamba ni mambo tu ambayo watu hawawezi kutimiza kimawazo, mambo ya mbinguni ambayo Mungu anawawezesha watu kuyajua sasa, au ukweli kuhusu kile Mungu anachofanya katika ulimwengu wa kiroho ni siri. Hili linaonyesha kwamba watu hawachukulii maneno yote ya Mungu kwa usawa, wala hawayathamini, lakini wanalenga kile wanachoamini kuwa "siri."
Jumanne, 31 Julai 2018
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Arubaini na Sita
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Arubaini na Sita
Sijui jinsi watu wanavyoendelea katika kuyafanya maneno Yangu kuwa msingi wa kuweko kwao. Nimehisi wasiwasi kila mara kwa ajili ya majaliwa ya mwanadamu, lakini watu hawaonekani kuwa na fahamu yoyote kuhusu hili—na kutokana na hilo, hawajawahi kuyatilia maanani mambo Yangu, na hawajawahi kukuza kuabudu kokote kwa ajili ya mtazamo Wangu kuhusiana na mwanadamu. Ni kana kwamba walitupa hisia zamani ili kuuridhisha moyo Wangu. Nikikumbwa na hali kama hizo, Nakimya mara nyingine. Kwa nini maneno Yangu hayastahili kufikiriwa na watu, kuhusu kuingia zaidi? Je, ni kwa sababu "Sina uhalisi" nami Najaribu kuwa na mamlaka juu ya watu?
Jumatatu, 26 Machi 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Nne
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Nne
Ili kuwazuia watu wote kutiwa kiburi na kujisahau baada ya mabadiliko yao kutoka kwa ubaya hadi kwa uzuri, katika fungu la maneno la mwisho la matamshi ya Mungu, mara tu Mungu akishazungumza kuhusu matakwa yake ya juu zaidi kwa watu Wake—mara tu Mungu akishawaambia watu kuhusu mapenzi Yake katika hatua hii ya mpango wa usimamizi Wake—Mungu huwapa nafasi ya kuyatafakari maneno Yake, kuwasaidia kufanya uamuzi wa kuridhisha mapenzi ya Mungu mwishowe.
Jumapili, 25 Machi 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Pili
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Pili
Kufuata kuanza kazi kwa mtazamo mpya, kutakuwa na hatua mpya katika kazi Yangu. Kama ilivyo katika ufalme, Nitafanya mambo moja kwa moja kupitia kwa uungu, Nikiongoza kila hatua ya njia, sahihi hadi kwa maelezo madogo, na bila kutiwa najisi na nia za binadamu hata kidogo.
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wewe U Mwaminifu kwa Nani?
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Wewe U Mwaminifu kwa Nani?
Kila siku unayoiishi sasa ni ya maana sana na muhimu sana kwa hatima yako na majaliwa yako, kwa hivyo unapaswa kufurahia kila ulicho nacho na kila dakika inayopita. Unapaswa kutumia muda wako vizuri ili uweze kujinufaisha, ili usije kuishi maisha haya bure. Pengine unajihisi kukanganyikiwa unaojiuliza ni kwa nini Ninazungumza maneno haya. Kwa kweli, Sijapendezwa na matendo ya yeyote kati yenu.