Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tatu-za-Kazi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tatu-za-Kazi. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 10 Septemba 2018
Lazima Mjue Nia ya Awamu Tatu za Kazi ya Mungu
Sura ya 3 Lazima Mjue Ukweli Kuhusu Awamu Tatu za Kazi ya Mungu
2. Lazima Mjue Nia ya Awamu Tatu za Kazi ya Mungu.
Maneno Husika ya Mungu:
Lengo la hatua tatu za kazi ni wokovu wa wanadamu wote—ambayo inamaanisha wokovu kamili wa mwanadamu kutoka kwa miliki ya Shetani. Ingawa kila moja ya hatua ya kazi ina madhumuni na umuhimu, kila moja...