
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo uaminifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo uaminifu. Onyesha machapisho yote
Jumatano, 26 Desemba 2018
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Amri za Enzi Mpya

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Amri za Enzi Mpya
Mmeambiwa kuwa mjiandae kwa maneno ya Mungu, ya kuwa pasipo kujali kilichoandaliwa juu yenu, yote yamepangwa kwa mkono wa Mungu, na kwamba hakuna haja ya kuomba kwa bidii au kusali kwenu—haina maana. Ilhali kulingana na hali...
Jumatatu, 3 Desemba 2018
Sura ya 1
Desemba 03, 2018Majaribio, Neno-Laonekana-katika-Mwili, uaminifu, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments

Kama tu Mungu alivyosema, “Hakuna anayeweza kuelewa mzizi wa maneno Yangu, wala kusudi la maneno haya.” Kama Isingekuwa uongozi wa Roho wa Mungu, kama isingekuwa kwa majilio ya maneno Yake, wote wangeangamia chini ya kuadibu Kwak...
Jumamosi, 3 Novemba 2018
Tamko la Arubaini na Sita
Novemba 03, 2018baraka, Kanisa, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, uaminifu, Ufalme, VitabuNo comments


Yeyote anayejitumia na kujitolea kwa uaminifu kwa ajili Yangu, hakika Nitakukinga mpaka mwisho kabisa; mkono Wangu hakika utakushikilia ili kwamba daima una amani na mwenye furaha daima na kila siku una mwanga Wangu na ufunuo. Hakika Nitakupa baraka Zangu mara dufu, ili uwe...