Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maisha. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maisha. Onyesha machapisho yote
Jumanne, 6 Agosti 2019
"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 1 Matukio ya Kuzimu | Kwaya za Injili
"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 1 Matukio ya Kuzimu | Kwaya za Injili
Je, unafikiria kuna kuzimu? Je, kuzimu iko namna gani hasa? Tafadhali fuatilia dondoo hii ya video!
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake.
Ijumaa, 19 Julai 2019
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 100
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 100
Ninawachukia wale wote ambao hawajajaaliwa na kuchaguliwa na Mimi. Kwa hiyo ni lazima Niwafukuze watu hawa kutoka katika nyumba Yangu mmoja baada ya mwingine, hivyo hekalu Langu litakuwa takatifu na bila doa, nyumba Yangu itakuwa mpya daima na haitakuwa nzee kamwe, jina Langu takatifu litaenezwa milele na watu Wangu watakatifu watakuwa wapendwa Wangu. Aina hii ya mandhari, aina hii ya nyumba, aina hii ya ufalme ni lengo Langu, makao Yangu nayo ni msingi wa uumbaji Wangu wa vitu vyote.
Alhamisi, 2 Mei 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemi ya Tatu
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemi ya Tatu
Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”. Maudhui ya video hii: Uhuru: Awamu ya Tatu 1. Baada ya Kuwa Huru, Mtu Huanza Kupitia Ukuu wa Muumba 2. Kuwaacha Wazazi wa Mtu na Kuanza kwa Bidii Kuendeleza Wajibu Wako Kwenye Ukumbi wa Sanaa wa Maisha
Jumatatu, 15 Aprili 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu II” Sehemu ya Nne
Aprili 15, 2019kumjua-Mungu, maisha, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Utongoaji-wa-Neno-la-Mungu, Video, WokovuNo comments
Mwenyezi Mungu anasema, “Kuelewa kiini cha Mungu na kujua kiini cha Mungu kinapeana msaada usioweza kupimika kwa kuingia kwa watu katika maisha. Natumai kwamba hamtapuuza haya ama kuyaona kama mchezo; kwa sababu kumjua Mungu ni msingi muhimu na msingi wa imani ya mwanadamu kwa Mungu na ufuatiliaji wa mwanadamu wa ukweli na wokovu na kitu ambacho hakifai kuachiliwa. Iwapo mwanadamu anamwamini Mungu lakini hamjui Mungu, na iwapo mwanadamu anaishi miongoni mwa baadhi ya barua na mafundisho ya kidini, hutawahi kufikia wokovu hata kama utatenda na kuishi kulingana na maana ya juujuu ya ukweli. Hiyo ni kusema, iwapo imani yako kwa Mungu haitokani na kumjua, basi imani yako haimaanishi chochote.”
Yaliyopendekezwa: Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu (II)” Sehemu ya Kwanza
Tufuate: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Ijumaa, 12 Aprili 2019
18. Meupe na Safi ni Maji yaliyo Kando ya Kiti cha Enzi cha Mungu
Aprili 12, 2019Kiumbe-Aliyeumbwa, maisha, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, utukufu, VitabuNo comments
Ⅰ
Maji yaliyo kando ya kiti cha enzi cha Mungu, safi na meupe, yanatulisha sisi.
Neno la Mungu, maji ya uzima, mtiririko unaostawisha mioyo yetu.
Mwenyezi Mungu, tunakusifu Wewe. Shukrani ziwe Kwako na mwanga Wako!
Kutoka kwa upotovu Ulituokoa, hivyo sasa tunaishi katika mwanga Wako!
Jumanne, 9 Aprili 2019
Wimbo wa Injili | 16. Wimbo wa Upendo Mtamu
Aprili 09, 2019furaha, maisha, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Vitabu, Wimbo-za-InjiliNo comments
Wimbo wa Injili | 16. Wimbo wa Upendo Mtamu
Ⅰ
Ndani ya moyo wangu, kuna upendo Wako. Mtamu sana, nasonga karibu na Wewe.
Kujali kukuhusu Wewe kunaufanya moyo wangu kuwa mtamu; kukutumikia Wewe kwa mawazo yangu yote.
Kinachouongoza moyo wangu, ni upendo Wako; nafuata nyayo Zako za upendo.
Jumamosi, 30 Machi 2019
Wimbo wa Kuabudu | Hatimaye Nimemwona Mungu
Machi 30, 2019furaha, maisha, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Vitabu, wimbo-wa-kuabuduNo comments
Wimbo wa Kuabudu | Hatimaye Nimemwona Mungu
Ⅰ
Nilikuja katika uwepo Wako siku hiyo, moyo wangu ukiwa umejaa tamaa ya kina.
Macho yangu yalipojawa na machozi, mkono Wako ulinipapasa.
Majonzi na huzuni ulimwagika kutoka moyoni mwangu.
Maisha yangu ya awali yakipita mbele ya macho yangu; majonzi na uchungu vikigongana kwa kutanafusi.
Jumanne, 26 Machi 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI Utakatifu wa Mungu III” Sehemu ya Pili
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI Utakatifu wa Mungu (III)” Sehemu ya Pili
Mwenyezi Mungu anasema, “Zaidi ya mwanadamu kutafuta kwa tamaa umaarufu na faida, daima anaendelea kutekeleza uchunguzi wa sayansi na utafiti wa kina, kisha bila kikomo huridhisha mahitaji yake ya mwili na tamaa; yapi tena ni matokeo ya mwanadamu? Kwanza kabisa hakuna tena usawa wa ikolojia na, pamoja na hili, miili ya wanadamu yote imetiwa doa na kuharibiwa na mazingira ya hali hii, na magonjwa mbalimbali ya kuambukiza na mapigo kusambaa kila mahali.
Jumatatu, 18 Machi 2019
Matamshi ya Mungu | “Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima Tamko la Kumi na Moja”
Matamshi ya Mungu | “Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima Tamko la Kumi na Moja”
Mwenyezi Mungu anasema, “Je, nani kati ya wanadamu wote hatunzwi mbele ya macho ya Mwenyezi? Nani haishi maisha kati ya majaaliwa ya Mwenyezi? Kuzaliwa na kufa kwa nani kulitokana na kuchagua kwao? Je, mwanadamu anadhibiti hatima yake?
Jumapili, 17 Machi 2019
Ee Mwenyezi Mungu, Mpendwa Wangu Mzuri
Mwenyezi Mungu, mpendwa wangu mzuri, Una moyo wangu.
Unapitia magumu, Unavumilia aibu, yote kwa ajili ya kutuokoa.
Unatoa maisha Yako kwangu, naona jinsi Ulivyo mzuri.
Unakuja duniani kutoka mbinguni, ukiwa mwenye mwili.
Uko hapa Ukiishi na sisi, lakini hakuna anayejua Wewe ni nani.
Jumapili, 10 Machi 2019
Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kufundisha Watoto Wangu (II)
Siku moja baada ya mlo mkuu wa siku, nilimfundisha mwanangu mvulana mkubwa jinsi ya kusoma Kichina—maneno rahisi tu, “Mbinguni, dunia, watu, na, dunia, baba, mama….” Nilimfundisha mara chache hasa, lakini bado hakuweza kuandika. Angeandika neno la kwanza na kisha kusahau lililofuata. Hasira ndani yangu ilipanda, na kunyakua rula
Jumatano, 6 Machi 2019
Matokeo Yanayofanikishwa na Kumjua Mungu
Machi 06, 2019kumjua-Mungu, maisha, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Nyimbo, VitabuNo comments
Siku moja, utahisi kuwa Muumba si kitendawili tena,
Hajawahi kujificha, kamwe Hajafunika uso Wake kutoka kwako;
Hayuko mbali na wewe kabisa;
Yeye sio Yule unayemtamani tena usiku na mchana
lakini huwezi kumfikia kwa hisia zako.
Jumapili, 23 Desemba 2018
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 44 na 45
Desemba 23, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, maisha, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Vitabu, YesuNo comments
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 44 na 45
Tangu Mungu alipomwambia mwanadamu kuhusu "upendo wa Mungu”—somo la maana zaidi kati ya yote—Alilenga kuzungumza juu ya mada hii katika "matamko ya Roho mara saba," kusababisha watu wote kujaribu kujua utupu wa maisha ya mwanadamu, na hivyo kuchimbua upendo wa kweli ulio ndani yao.
Jumatatu, 26 Novemba 2018
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini
Mwenyezi Mungu alisema, Amkeni, ndugu! Amkeni, kina dada! Siku Yangu haitakawishwa; wakati ni uhai, na kuushika wakati ni kuokoa uhai! Wakati hauko mbali sana! Mkifanya mitihani ya kuingia katika chuo kikuu na msipite, mnaweza kujaribu tena na mubukue kwa ajili ya mtihani. Hata hivyo, siku Yangu haitakuwa na ucheleweshaji kama huo. Kumbuka! Kumbuka! Ninakuhimiza kwa maneno haya mazuri.
Ijumaa, 16 Novemba 2018
Tamko la Kumi na Sita
Novemba 16, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, maisha, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Kumi na Sita
Baada ya ushuhudiaji wa Mwana wa Adamu, Mwenyezi Mungu alijifichua kwetu hadharani kama Jua la haki. Haya ndiyo mabadiliko mlimani! Sasa inakuwa halisi zaidi na zaidi, na zaidi kuwa jambo la uhalisi. Tumeona utaratibu wa kazi ya Roho Mtakatifu, Mungu Mwenyewe ameibuka kutoka kwa mwili wa damu. Yeye hayuko chini ya udhibiti wa mwanadamu, wala anga, wala jiografia; Yeye huvuka mipaka ya nchi na bahari, Yeye hufika miisho halisi ya ulimwengu, na mataifa yote na watu wa jumuia zote wanasikiliza sauti Yake kwa utulivu. Tunapofungua macho yetu ya kiroho tunaona kuwa neno la Mungu limetokea kwa mwili Wake mtukufu; ni Mun gu Mwenyewe anayetokea kutoka kwa mwili. Yeye ni Mungu Mwenyewe halisi na kamili.
Jumatano, 14 Novemba 2018
Tamko la Pili
Novemba 14, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, maisha, neema, Neno-Laonekana-katika-Mwili, ushahidi, VitabuNo comments
Tamko la Pili
Kanisa la Filadelfia limechukua umbo, na hili limesababishwa kabisa na neema na rehema za Mungu. Watakatifu wameleta upendo wao wa Mungu mbele na kamwe hawakuyumbayumba kutoka kwa njia yao ya kiroho. Kuwa imara katika imani kwamba Mungu mmoja wa kweli Amekuwa mwili, ya kwamba Yeye ndiye Mkuu wa ulimwengu Ambaye hutawala vitu vyote—hii imethibitishwa na Roho Mtakatifu na ni ushahidi thabiti! Kamwe hauwezi kubadilika!
Eh, Mwenyezi Mungu! Leo Umefungua macho yetu ya kiroho, kuwaruhusu vipofu kuona, viwete kutembea, wenye ukoma kuponywa. Umefungua dirisha la mbinguni na tumeona siri za dunia ya kiroho.
Jumatatu, 12 Novemba 2018
Neno la Mungu | "Wale Waliofanywa Kuwa Watimilifu Ndio tu Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana"
Neno la Mungu | "Wale Waliofanywa Kuwa Watimilifu Ndio tu Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana"
Mwenyezi Mungu anasema, "Wale waliofanywa kuwa watimilifu hawawezi tu kuwa watiifu baada ya kushindwa, lakini wanaweza pia kuwa na maarifa na kubadilisha tabia yao. Wanamjua Mungu, wamepitia njia ya Mungu mwenye upendo, na wamejazwa na ukweli. Wanajua namna ya kupitia kazi ya Mungu, wanaweza kuteseka kwa ajili ya Mungu, na wanayo mapenzi yao wenyewe. … Kufanywa kuwa watimilifu kunarejelea wale ambao, baada ya kukamilika kwa kazi ya ushindi, wanaweza kufuatilia ukweli na kufaidika kutoka kwa Mungu.
Alhamisi, 28 Desemba 2017
Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake
Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake
Mwenyezi Mungu alisema, Kiini cha imani ya watu wengi katika Mungu ni imani za kidini: Hawana uwezo wa kumpenda Mungu, na wanaweza kumfuata Mungu tu kama roboti, bila kuweza kumtamani Mungu, ama kumwabudu.