Ijumaa, 18 Januari 2019

Ifuate Kazi Mpya ya Roho Mtakatifu na Kupata Sifa ya Mungu

I
Lo … lo … lo …
Kuifuata kazi ya Roho Mtakatifu kunamaanisha mtu huelewa mapenzi ya Mungu ya leo,
hufanya kulingana na matakwa ya Mungu, humfuata Mungu wa leo,
hutii mahitaji Yake ya sasa na huingia kwa maneno Yake mapya zaidi.
Watu kama hao hufuata kazi ya Roho.
Wako katika mkondo wa Roho Mtakatifu, wanaweza kumwona Mungu na kupokea sifa za Mungu.
Wanaweza kujua tabia ya Mungu, kujua dhana na kutotii kwa mwanadamu,
na asili ya mwanadamu na kiini.
Zaidi ya hayo, tabia yao itabadilishwa wakati wa huduma yao kwa Mungu.
Watu kama hawa tu ndio wale wanaoweza kumpata Mungu.
Watu kama hawa tu ndio wale
ambao kwa kweli wamepata njia moja ya kweli.
II
Kuwa na maarifa ya kazi ya hivi karibuni ya Mungu si rahisi.
Lakini kama watu wanaweza kukubali na kutafuta kazi ya Mungu kwa makusudi,
watakuwa na fursa ya kumwona Mungu
na kupata uongozi mpya wa Roho Mtakatifu.
Zaidi ya hayo, tabia yao itabadilishwa wakati wa huduma yao kwa Mungu.
Watu kama hawa tu ndio wale wanaoweza kumpata Mungu.
Watu kama hawa tu ndio wale
ambao kwa kweli wamepata njia moja ya kweli.
III
Wale ambao kwa makusudi hupinga kazi ya Mungu
hawawezi kupokea nuru ya Roho Mtakatifu au uongozi wa Mungu.
Hivyo kama watu wanaweza kupokea kazi ya hivi karibuni ya Mungu
inategemea neema ya Mungu na kufuatilia kwao,
na inategemea nia zao.
(Lo … lo … lo … lo …)
kutoka katika "Jua Kazi Mpya Zaidi ya Mungu na Fuata Nyayo za Mungu" katika Neno Laonekana katika Mwili


kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya


Tufuate: Umeme wa Mashariki, Sikiliza zaidi nyimbo za dini

0 意見:

Chapisha Maoni