Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada “Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki”

Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale, na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki. Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga, wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.

Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | “Bwana Wangu Ni Nani” ( Filamu za Injili )

Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.”

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki “ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” | Haleluya

Mungu ametutunza daima–Yeye amesikiliza maombi yetu! Anajua tumekuwa tukitamani kurejea Kwake! Sasa kwa hakika Amerejea! Tunasubiri nini bado? Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu—Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!

NYENDO ZA MATESO YA KIDINI NCHINI CHINA (Christian Videos) swahili

Wakristo wanaoteswa katika filamu hii ni watu kutoka kwa vikundi vya kidini na madhehebu tofauti ambao walitafuta ukweli, na ambao waliisikia sauti ya Mungu na hivyo wakarudi kwa Mwenyezi Mungu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maswali-na-Majibu-Mia-Moja-Kuhusu-Kuichunguza-Njia-ya-Kweli. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maswali-na-Majibu-Mia-Moja-Kuhusu-Kuichunguza-Njia-ya-Kweli. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 6 Agosti 2018

Mungu Aliilinda Familia Yetu Wakati wa Maafa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, wokovu,

Mungu Aliilinda Familia Yetu Wakati wa Maafa

Wang Lan, Beijing
Agosti 6, Mwaka wa 2012
Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, mafuriko makubwa zaidi tangu miaka sitini yalipitia kijijini mwetu kwa nguvu mno. Maafa yalianguka kutoka mbinguni, maji ya mafuriko yalichanganya matope na mawe na kuharibu kijiji chote. Nyumba nyingi ziliharibiwa na maji na maporomoko ya matope.
Baada ya saa kumi na moja alasiri hiyo, mvua ilikuwa ikinyesha kwa nguvu sana. Kulikuwa na maji ya mafuriko na mawe makubwa yaliyoanguka kutoka juu ya nyumba yetu, na maji ya mafuriko yalikuwa makubwa mbele na nyuma ya nyumba yetu.

Jumapili, 5 Agosti 2018

Upendo wa Mungu ni wa Kweli Kabisa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Upendo wa Mungu,

Upendo wa Mungu ni wa Kweli Kabisa


🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻   *************         ðŸŒºðŸŒºðŸŒºðŸŒº
Wenzhong , Beijing
Agosti 11, mwaka wa 2012
Usiku wa Julai 21, mwaka wa 2012, tulikuwa na mafuriko makubwa hapa, ambayo hutokea kwa nadra. Ningependa kumwambia kila mtu aliye na kiu ya Mungu kile nilichokipitia kwa kweli na kukiona wakati huo.
Siku hiyo mume wangu nami tuliutunza uga wa chakula kikavu cha mifugo wa dada yangu. Wakati wa usiku mvua nzito iliendelea kunyesha, na tulienda kulala mapema sana. Saa nne kasorobo usiku ndugu mkwe wangu wa kiume aliita akisema:

Jumatatu, 30 Aprili 2018

1. Mwenyezi Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha

Kanisa la Mwenyezi Mungu, wokovu, Umeme wa Mashariki

1. Mwenyezi Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha

Ndugu wawili wa kawaida, Beijing
Agosti 15, 2012
Julai 21, mwaka wa 2012 ilikuwa siku isiyosahaulika sana kwangu, pamoja na kuwa siku muhimu zaidi ya maisha yangu.
Siku hiyo, mvua kubwa ilikuwa ikinyesha katika Wilaya ya Fangshan jijini Beijing—ilikuwa kubwa kuliko yoyote iliyowahi kuonekana pale katika miaka sitini na mmoja. Muda mfupi baada ya saa 10 jioni, nilitoka nje mtaani ili kuangalia na nikaona kuwa maji yalikuwa kila mahali. Gari la familia yetu lilikuwa tayari limeelea, na sababu ya pekee gari hilo kutosombwa na mkondo wa maji ilikuwa kwamba lilizuiwa na kitu mbele yake kilicholizuia kusonga.

Jumapili, 29 Aprili 2018

4. Bila Ya Wokovu wa Mungu, Singeweza Kuwa Hapa Leo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, hukumu, Umeme wa Mashariki

4. Bila Ya Wokovu wa Mungu, Singeweza Kuwa Hapa Leo

Zhang Jin, Beijing
Agosti 16, 2012
Mimi ni dada mzee mwenye miguu miwili yenye kasoro. Hata wakati hali ya hewa ni nzuri nje, nina shida kutembea, lakini wakati maji ya mafuriko yalipokuwa karibu kunimeza, Mungu aliniruhusu kutoroka hatari kimiujiza.
Ilikuwa Julai 21, mwaka wa 2012. Siku hiyo mvua ya mfoko ilinyesha, na nilikuwa tu nje nikitimiza wajibu wangu. Baada ya saa 10:00 mchana, mvua ilikuwa bado haijaisha. Wakati mkutano wetu ulipomalizika, niliikabili mvua bila woga na kupanda basi kwelekea nyumbani. Wakati nikisafiri, mvua ikawa nzito zaidi na zaidi, na wakati basi lilipofika kituo cha basi kabla ya changu, dereva alituambia sisi sote abiria, "Basi hili haliwezi kwendelea zaidi; barabara imeporomoka huko mbele." Hakukuwa na kitu ambacho kingeweza kufanywa, kwa hivyo sikukuwa na chaguo ila kushuka kutoka kwenye basi na kutembea njia yote. Bila kudhubutu kumwacha Mungu, nilikuwa ninaendelea kuomba moyoni mwangu. Kutokana na nguvu ya gharika, maji yalikuwa yamemeza barabara kabisa. Nilijaribu kuendelea kwa kushikilia nguzo za saruji zilizosimama kwa safu kando ya barabara, nikisonga mbele hatua kwa hatua. Wakati huo, nikasikia mtu akipiga ukelele nyuma yangu, "Acha kusonga mbele! Haraka; geuka na kurudi! Huwezi kupita; maji hayo yana uketo na mkondo una kasi sana. Ukikusomba, sitaweza kukuokoa!" Wakati huo, hata hivyo, singesonga mbele wala kurudi nyuma, kwa sababu maji yalikuwa tayari yamefika kifuani mwangu. Sikudhubutu kutembea zaidi, hivyo yote niliyoweza kufanya ni kumwomba Mungu na kumsihi Yeye afungue njia yangu kupitia: "Mungu! Umeyaruhusu mazingira haya kunifika, na ikiwa nitaishi au kufa iko mikononi Mwako sasa. Kama kiwango cha maji kingeshuka kwa nusu futi tu, ningeendelea kutembea mbele. Mungu, fanya Unavyotaka; Niko tayari kuaminisha maisha yangu Kwako!" Baada ya kufanya sala hii, nilijihisi mnyamavu na mtulivu. Nilikumbuka mojawapo ya maneno ya Mungu: "Mbingu na ardhi na vitu vyote vimeasisiwa na kukamilishwa na maneno ya kinywa Changu na na Mimi chochote kinaweza kufanikishwa" (Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni). Maneno ya Mungu yalinipa imani na ujasiri. Kwa kuwa mbingu na ardhi na vitu vyote viko mikononi mwa Mungu, nilijua kwamba bila kujali jinsi gharika hiyo ilivyokuwa katili, haingeepuka mpango wa Mungu. Hakuna yeyote ambaye angetegemewa tena; mwanangu wa kiume, binti yangu … hakuna yeyote ambaye angeweza kumtunza mwenzake. Niliamini kuwa mradi nilimtegemea Mungu, hakukuwa na shida ambayo singeweza kuipita. Wakati ule ule, muujiza ukafanyika. Mkondo ukapungua zaidi na zaidi mpaka haukuwa tena mkali kama ilivyokuwa wakati mfupi awali, na nguzo za saruji zilizosimama kwa safu kando ya barabara zimefichuliwa hatua kwa hatua. Kwa hakika, kiwango cha maji kilishuka kwa nusu futi kutoka kiwango cha kifua changu. Na hivyo tu, niliondoka mahali hapo, hatua kwa hatua, chini ya uongozi wa Mungu. Isingekuwa kwa sababu ya huruma na ulinzi wa Mungu, sijui ambako gharika ingenipeleka. Kutoka kwa kina cha moyo wangu, nilionyesha shukrani yangu na sifa, nikimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa fursa ya pili katika maisha.
Baadaye, nikasikia maelezo ya mtoto wangu kuhusu mvua hiyo: Siku hiyo, baada ya kurudi nyumbani kutoka kutimiza wajibu wake, alikwenda msalani kwanza. Mara tu alipotoka chooni na kurudi kwenye chumba chake alisikia sauti kubwa nje. Alipotoka nje kwenda kuangalia, aliona kwamba jengo zima la choo lilikuwa limeanguka kabisa chini ya maji. Isingekuwa kwa ulinzi wa Mungu, angekufa. Ilikuwa hasa kama Mungu alivyosema katika mojawapo ya maneno Yake: "vitu vyote, vilivyo hai au vilivyokufa, vitahamishwa, vitabadilika, vitafanywa vipya, na kutoweka kulingana na mawazo ya Mungu" ("Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu" katika Neno Laonekana katika Mwili). Msisimko wa kuzidi kiasi niliouhisi ndani ya moyo wangu hakika hauwezi kuelezwa kwa maneno.
Kupitia matukio haya mawili, imani yangu imekuwa imara hata zaidi. Siku hiyo, Mungu alikuwa ameniruhusu kuokoka maafa hasa kuniruhusu mimi kutoa ushahidi kwa ajili Yake. Siwezi kupuuza dhamiri yangu. Ninapoangalia nyuma juu ya jinsi nilivyokuwa na ubinafsi, ukatili, na hali ya kujidai nilivyokuwa awali kwa kawaida nilipokuwa nikitimiza wajibu wangu, ninatambua kuwa sikuhisi kamwe busara ya Mungu ya umuhimu au kushiriki mawazo ya Mungu. Kuanzia sasa kwendelea, napenda kutubu na kubadilika. Nitatumia uzoefu wangu binafsi kuwaleta watu zaidi mbele ya Mungu, na kufanya wajibu wangu katika kazi ya kueneza injili.
kutoka kwa Maswali na Majibu Mia Moja Kuhusu Kuichunguza Njia ya Kweli
Kujua zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?