Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kueneza-injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kueneza-injili. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 27 Januari 2018

Kazi ya Kueneza Injili Ni Kazi ya Kuokoa Binadamu Pia

Kazi ya Kueneza Injili Ni Kazi ya Kuokoa Binadamu Pia Mwenyezi Mungu alisema, Watu wote wanahitaji kuelewa kusudio la kazi Yangu ulimwenguni, yaani, lengo la mwisho la kazi Yangu na ni kiwango kipi ambacho lazima Nitimize katika kazi hii kabla inaweza kukamilika. Kama watu, wanaotembea na Mimi hadi leo, hawaelewi kazi Yangu inahusu nini,...