Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada “Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki”

Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale, na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki. Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga, wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.

Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | “Bwana Wangu Ni Nani” ( Filamu za Injili )

Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.”

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki “ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” | Haleluya

Mungu ametutunza daima–Yeye amesikiliza maombi yetu! Anajua tumekuwa tukitamani kurejea Kwake! Sasa kwa hakika Amerejea! Tunasubiri nini bado? Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu—Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!

NYENDO ZA MATESO YA KIDINI NCHINI CHINA (Christian Videos) swahili

Wakristo wanaoteswa katika filamu hii ni watu kutoka kwa vikundi vya kidini na madhehebu tofauti ambao walitafuta ukweli, na ambao waliisikia sauti ya Mungu na hivyo wakarudi kwa Mwenyezi Mungu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumjua-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumjua-Mungu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 20 Juni 2019

Maneno ya Mwenyezi Mungu | sura ya 117

            Maneno ya Mwenyezi Mungu | sura ya 117

Wewe Ndiwe ambaye hufungua kitabu, Wewe Ndiwe ambaye hufungua mihuri saba, kwa sababu siri zote hutoka Kwako na baraka zote hufichuliwa na Wewe. Mimi sina budi kukupenda Wewe milele, na Mimi sina budi kuwafanya watu wote wakuabudu Wewe, kwa sababu Wewe ni nafsi Yangu, Wewe ni sehemu ya onyesho Langu kamili lenye ukarimu, sehemu ya msingi ya mwili wangu. Kwa hiyo, ni lazima Mimi Nitoe ushahidi maalum. Ni nani mwingine kando na yaliyo ndani ya nafsi Yangu anayefuata Moyo Wangu? Si Wewe Mwenyewe ambaye hutoa ushahidi kwa ajili Yako, lakini Roho Wangu ambaye hutoa ushahidi kwa ajili Yako, na kwa hakika Mimi sitamsamehe yeyote ambaye huthubutu kukupinga Wewe, kwa kuwa hili huhusu amri Zangu za utawala. 

Jumatano, 19 Juni 2019

Maneno ya Mwenyezi Mungu | sura ya 118



Maneno ya Mwenyezi Mungu | sura ya 118

Yeyote atakayeinuka kumshuhudia Mwana Wangu, Nitampa neema; yeyote ambaye hatainuka kumshuhudia Mwana Wangu, ila badala yake apinge na kutumia dhana za mwanadamu ili Amtathmini, Nitamwangamiza. Lazima wote waone waziwazi! Kumshuhudia Mwana Wangu ni kitendo cha kunicha nako kunayaridhisha mapenzi Yangu. Usimheshimu tu Baba lakini umdhulumu na kumkandamiza Mwana. Wale wanaofanya hivyo ni wa dhuria ya joka kuu jekundu na Sihitaji watu duni kama hawa kumshuhudia Mwanangu; Nitawaangamiza katika shimo lisilo na mwisho. Nawataka watendaji huduma waaminifu na wa kweli kutoa huduma kwa Mwanangu, na Simhitaji yeyote kati ya wengine wote.

Jumamosi, 11 Mei 2019

Neno la Mungu | “Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu” Sehemu ya Pili


Neno la Mungu | “Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu” Sehemu ya Pili


Mwenyezi Mungu anasema, “Hatua tatu za kazi ndizo kiini cha usimamizi mzima wa Mungu, na ndani yazo zimeelezwa tabia ya Mungu na kile Alicho. Wale wasiojua kuhusu hatua tatu za kazi ya Mungu hawana uwezo wa kutambua jinsi Mungu anavyoonyesha tabia Yake, wala hawajui hekima ya kazi ya Mungu, na wanasalia kutojua njia nyingi Anazomwokoa mwanadamu, na mapenzi Yake kwa wanadamu wote. Hatua tatu za kazi ndizo maonyesho kamili ya kazi ya kumwokoa mwanadamu.

Ijumaa, 3 Mei 2019

3. Uhusiano Kati ya Kila Moja ya Hatua Tatu za Kazi ya Mungu

II. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Wokovu wa Mungu kwa Wanadamu

3. Uhusiano Kati ya Kila Moja ya Hatua Tatu za Kazi ya Mungu
Maneno Husika ya Mungu:
Kutoka kwa kazi ya Yehova mpaka ile ya Yesu, na kutoka kwa kazi ya Yesu hadi kwa kazi iliyoko kwa awamu hii ya sasa, awamu hizi tatu zinajumlisha upana wote wa usimamizi wa Mungu, na zote ni kazi za Roho mmoja. Kutoka Alipoumba ulimwengu, Mungu Amekuwa Akisimamia wanadamu. Yeye ndiye Mwanzo na ndiye Mwisho; Yeye ndiye wa Kwanza na wa Mwisho, na Yeye ndiye mwanzilishi wa enzi na Yeye ndiye huleta enzi kwenye kikomo.

Jumanne, 30 Aprili 2019

10. Kwa nini ni kwa kupitia na kuitii kazi ya Mungu mwenye mwili pekee ndipo mtu anaweza kumjua Mungu?

I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu

10. Kwa nini ni kwa kupitia na kuitii kazi ya Mungu mwenye mwili 

pekee ndipo mtu anaweza kumjua Mungu?

Aya za Biblia za Kurejelea:
“Na Neno alifanywa kuwa mwili, na akakaa kati yetu, (nasi tukautazama utukufu wake, utukufu kama ule wa Mwana wa pekee aliyezaliwa na Baba,) aliyejawa neema na ukweli” (Yohana 1:14).

Jumatatu, 15 Aprili 2019

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu II” Sehemu ya Nne


Mwenyezi Mungu anasema, “Kuelewa kiini cha Mungu na kujua kiini cha Mungu kinapeana msaada usioweza kupimika kwa kuingia kwa watu katika maisha. Natumai kwamba hamtapuuza haya ama kuyaona kama mchezo; kwa sababu kumjua Mungu ni msingi muhimu na msingi wa imani ya mwanadamu kwa Mungu na ufuatiliaji wa mwanadamu wa ukweli na wokovu na kitu ambacho hakifai kuachiliwa. Iwapo mwanadamu anamwamini Mungu lakini hamjui Mungu, na iwapo mwanadamu anaishi miongoni mwa baadhi ya barua na mafundisho ya kidini, hutawahi kufikia wokovu hata kama utatenda na kuishi kulingana na maana ya juujuu ya ukweli. Hiyo ni kusema, iwapo imani yako kwa Mungu haitokani na kumjua, basi imani yako haimaanishi chochote.”

Yaliyopendekezwa: Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu (II)” Sehemu ya Kwanza

Tufuate: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Ijumaa, 22 Machi 2019

Matamshi ya Kristo | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ukweli

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX

Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (III)
Kwa kipindi hiki chote, tumezungumza juu ya mambo mengi yanayohusiana na kumjua Mungu na hivi karibuni tulizungumza kuhusu kitu fulani muhimu sana juu ya mada hii: Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote. Wakati uliopita tulizungumza juu ya vipengele vichache vya mazingira kwa ajili ya kuendelea kuishi ambayo Mungu aliyatengeneza kwa ajili ya binadamu, vilevile Mungu kuandaa kila aina ya riziki ya lazima kwa ajili ya watu katika maisha yao.

Jumanne, 19 Machi 2019

Matamshi ya Kristo | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,  Ukweli,

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X

Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)
Leo, tunafanya ushirika juu ya mada maalum. Kwa kila mmoja wenu, kuna vitu viwili vikuu tu ambavyo mnapaswa kujua, kuvipitia na kuvielewa—na vitu hivi viwili ni vipi? Cha kwanza ni kuingia binafsi kwa watu katika maisha, na cha pili kinahusu kumjua Mungu. Leo Nawapa uchaguzi: Chagua kimoja.

Jumatano, 6 Machi 2019

Matokeo Yanayofanikishwa na Kumjua Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, kumjua Mungu
I
Siku moja, utahisi kuwa Muumba si kitendawili tena,
Hajawahi kujificha, kamwe Hajafunika uso Wake kutoka kwako;
Hayuko mbali na wewe kabisa;
Yeye sio Yule unayemtamani tena usiku na mchana
lakini huwezi kumfikia kwa hisia zako.

Jumatano, 13 Februari 2019

Nyimbo za dini | Dhana na Fikira Hazitawahi Kukusaidia Kumjua Mungu

Nyimbo za dini | Dhana na Fikira Hazitawahi Kukusaidia Kumjua Mungu

I
Maarifa ya Mungu hayategemei uzoefu wala mawazo.
Hivi havipaswi kamwe kuwekwa juu ya Mungu.
Kwani haijalishi jinsi uzoefu wa binadamu ulivyo mkuu na matamanio,
hivyo ni vidogo, hivyo sio uhakika wala ukweli,
pia kuwa havikubaliani na tabia halisi ya Mungu,
vikiwa pia ni kinyume na kiini halisi cha Mungu.

Jumanne, 5 Februari 2019

Nia ya Mungu ya Kumwokoa Mwanadamu Haitabadilika

I
Sasa mwanadamu anajua kidogo tabia za Mungu,
kile Mungu alicho nacho na kile alicho, kazi anazofanya Yeye.
lakini bado mengi ya anayofahamu
sio chochote zaidi ya maneno juu ya ukurasa, nadharia akilini.

Jumapili, 27 Januari 2019

Nyimbo za injili | Petro Alimjua Mungu Vyema Zaidi

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli,

Nyimbo za injili | Petro Alimjua Mungu Vyema Zaidi

I
Petro alikuwa mwaminifu kwa Mungu kwa miaka,
lakini hakuwa na moyo wa kulalamika kamwe.
Hata Ayubu hakuwa sawa na yeye,
sembuse watakatifu katika enzi zote.

Alhamisi, 13 Desemba 2018

Ufafanuzi wa Matamko ya Ishirini na Nne na Ishirini na Tano

Bila kusoma kwa makini, haiwezekani kugundua kitu chochote katika matamko ya siku hizi mbili; kwa kweli, yangepaswa kunenwa kwa siku moja, lakini Mungu aliyagawanya kwa siku mbili. Hiyo ni kusema, matamko ya siku hizi mbili yanaunda moja kamili, lakini ili iwe rahisi kwa watu kuyakubali, Mungu aliyagawanya kwa siku mbili ili kuwapa watu nafasi ya kupumua. Hiyo ndiyo fikira ya Mungu kwa mwanadamu. Katika kazi yote ya Mungu, watu wote hutekeleza kazi zao na wajibu wao mahali pao wenyewe.

Alhamisi, 20 Septemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 13

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

 neno la Mungu | Sura ya 13

Mwenyezi Mungu alisema, Mungu anachukia urithi wote wa joka kubwa jekundu, na Hulichukia joka kubwa jekundu hata zaidi. Huu ni mzizi wa ghadhabu iliyo ndani ya moyo wa Mungu. Inaonekana kwamba Mungu anataka kutupa vitu vyote ambavyo ni mali ya joka kubwa jekundu ndani ya ziwa la moto wa jahanamu kuviteketeza kabisa. Kuna nyakati ambazo hata inaonekana kwamba Mungu anataka kuunyosha mkono Wake kuliangamiza binafsi—hilo tu ndilo lingeweza kufuta chuki iliyo ndani ya moyo Wake.

Jumatano, 25 Aprili 2018

"Mji Utaangushwa" (4) - Je, Kufafanua Biblia ni Sawa na Kutukuza na Kutoa Ushuhuda kwa Mungu?

"Mji Utaangushwa" (4) - Je, Kufafanua Biblia ni Sawa na Kutukuza na Kutoa Ushuhuda kwa Mungu?

Watu wengi katika ulimwengu nzima wa dini huamini kwamba wale ambao wanaweza zaidi kueleza Biblia ni watu wanaomjua Mungu, na kwamba kama wao pia wanaweza kufafanua siri za Biblia na kueleza unabii, basi wao ni watu ambao hufuata mapenzi ya Mungu, na wanatukuza na kutoa ushuhuda kwa Mungu.

Jumamosi, 10 Machi 2018

Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Ni sheria ya Mbinguni na kanuni za duniani kumwamini Mungu na kumjua Mungu, na leo—wakati wa enzi ambapo Mungu mwenye mwili Anafanya kazi Yake mwenyewe—ndio wakati mwafaka hasa wa kumjua Mungu.

Jumatano, 21 Februari 2018

Ninaona njia ya kumjua Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, hukumu,

9. Ninaona njia ya kumjua Mungu

Xiaocao Mji wa Changzhi, Mkoa wa Shanxi
Siku moja, niliona kifungu hiki kifuatacho cha neno la Mungu kwa maandishi “Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu”: “Kwenye kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu kuhusu maisha Yake: Matendo Yake, maneno Yake, mwendo Wake na maonyesho Yake.