Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Vitabu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Vitabu. Onyesha machapisho yote
Jumamosi, 5 Oktoba 2019
Neno la Mungu: Sura ya 87
Oktoba 05, 2019Kazi-ya-Mungu, Mwendelezo-wa Neno-Laonekana-katika-Mwili, neno-la-Mungu, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments

Neno la Mungu: Sura ya 87
Lazima uharakishe hatua na ufanye kile Nataka kufanya. Hii ni kusudi Langu lenye hamu kwenu. Inawezekana kuwa kwa wakati huu bado hamjaelewa maana ya maneno Yangu? Inawezekana kuwa bado hamjui kusudi Langu? Nimezungumza wazi zaidi na zaidi, na kusema mengi zaidi, lakini, je, ninyi hamjajitahidi kujaribu kuelewa maana ya...
Jumatano, 2 Oktoba 2019
Sauti ya Mungu: Sura ya 88
Oktoba 02, 2019Kazi-ya-Mungu, Mwendelezo-wa Neno-Laonekana-katika-Mwili, neno-la-Mungu, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu: Sura ya 88
Watu hawawezi tu kuwaza kiasi ambacho mwendo Wangu umezidisha kasi: Ni ajabu ambayo imetokea isiyoeleweka kwa mwanadamu. Tangu uumbaji wa dunia, mwendo Wangu umeendelea na kazi Yangu haijawahi kusimama. Ulimwengu wote hubadilika siku kwa siku na watu pia wanabadilika mara kwa mara. Hizi zote ni kazi Zangu, mipango...
Jumapili, 29 Septemba 2019
Maneno ya Mungu : Sura ya 89
Septemba 29, 2019Jina-la-Mungu, Mwendelezo-wa Neno-Laonekana-katika-Mwili, neno-la-Mungu, VitabuNo comments

Maneno ya Mungu : Sura ya 89
Sio rahisi kuwa sawa na makusudi Yangu kwa kila kitu unachofanya; sio jambo la kujilazimisha kudanganya, lakini inategemea ikiwa Nilikujalia na akili Yangu kabla ya kuumbwa kwa dunia, ambalo lilikuwa jukumu Langu. Hiki sio kitu watu wanachoweza kufanya....
Jumamosi, 14 Septemba 2019
Maneno ya Mungu : Sura ya 90
Septemba 14, 2019hukumu-ya-Mungu, Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments

Maneno ya Mungu : Sura ya 90
Wote walio vipofu lazima waondoke kutoka Kwangu na wasiwepo kwa muda zaidi hata kidogo, kwani wale ambao Nataka ni wale ambao wanaweza kunijua, wanaoweza kuniona na wanaoweza kupata vitu vyote kutoka Kwangu. Na wanaoweza kweli kupata vitu vyote kutoka Kwangu ni nani? Hakika kuna wachache sana wa mtu wa aina hii na hakika...
Jumatano, 11 Septemba 2019
Sauti ya Mungu : Sura ya 91
Septemba 11, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu : Sura ya 91
Roho Wangu huongea na kutamka sauti Yangu daima—wangapi kati yenu wanaweza kunijua Mimi? Kwa nini lazima Nipate mwili na kuja kati yenu? Hili ni fumbo kubwa. Ninyi mnanifikiria kuhusu Mimi na kunitamani sana siku nzima, na mnanisifu, kunifurahia na kunila na kuninywa kila siku, na ilhali leo bado hamnijui Mimi...
Jumapili, 8 Septemba 2019
Sauti ya Mungu : Sura ya 92
Septemba 08, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu : Sura ya 92
Kila mmoja anaweza kuuona uweza Wangu na hekima Yangu ndani ya maneno Ninayoyazungumza na mambo Ninayoyatenda. Popote Ninapokwenda, kazi Yangu iko pale. Hatua Zangu haziko nchini China pekee, bali muhimu zaidi, ziko katika mataifa yote ya dunia. Ya kwanza kulipokea jina hili, hata hivyo, ni mataifa saba tu ambayo yamezungumziwa...
Alhamisi, 5 Septemba 2019
Sauti ya Mungu : Sura ya 93
Septemba 05, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu : Sura ya 93
Ukweli unatimizwa mbele ya macho ya mtu na mambo yote yametimizwa. Kazi Yangu inapata hatua, ikipanda juu kama roketi iliyofyatuliwa, ambayo hakuna mtu aliwahi kutarajia. Ni baada ya vitu kufanyika ndipo mtaelewa maana ya kweli ya maneno Yangu. Watoto wa joka kubwa jekundu si wa pekee na lazima wafanywe kushuhudia matendo...
Jumatatu, 2 Septemba 2019
Maneno ya Mungu : Sura ya 94
Septemba 02, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments

Maneno ya Mungu : Sura ya 94
Narudi Sayuni pamoja na wazaliwa Wangu wa kwanza—kweli mnaelewa maana ya kweli ya maneno haya? Nimewakumbusha tena na tena kwamba Mimi nataka mkue haraka ili mtawale na Mimi. Je, mnakumbuka? Vitu hivi vyote vinahusiana moja kwa moja na kupata mwili Kwangu. Kutoka Sayuni Nilikuja duniani katika nyama ili Nipate kupitia...
Ijumaa, 30 Agosti 2019
Sauti ya Mungu : Sura ya 95
Agosti 30, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu : Sura ya 95
Watu hufikiri kila kitu kuwa rahisi sana, wakati kwa kweli hali siyo hivyo. Ndani ya kila kitu kuna siri zilizofichwa, na vile vile hekima Yangu na mipango Yangu. Hakuna utondoti usioangaliwa, na yote yanapangwa na Mimi Mwenyewe. Hukumu ya siku kuu inawafikia wale wote wasionipenda kwa kweli (kumbuka, hukumu ya siku kuu...
Jumanne, 27 Agosti 2019
Sauti ya Mungu : Sura ya 96
Sauti ya Mungu : Sura ya 96
Nitamwadibu kila mtu aliyezaliwa kutoka Kwangu ambaye bado hanijui ili kuonyesha ghadhabu Yangu yote, kuonyesha nguvu Zangu kuu, na kuonyesha hekima Yangu kamili. Ndani Yangu kila kitu ni chenye haki na bila shaka hakuna udhalimu, hakuna udanganyifu, na hakuna upotovu; yeyote ambaye ni mpotovu na mdanganyifu lazima awe...
Jumamosi, 3 Agosti 2019
Maneno ya Mungu | Sura ya 97
Agosti 03, 2019neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments

Maneno ya Mungu | Sura ya 97
Nitafanya kila mtu aone matendo Yangu ya ajabu na kusikia maneno Yangu ya hekima. Ni lazima iwe kila mtu na ni lazima iwe juu ya kila suala. Hii ni amri Yangu ya utawala na ni ghadhabu Yangu. Nitahusisha kila mtu na kila jambo ili watu wote kutoka mwisho mmoja wa ulimwengu hadi mwingine wataona kwa macho yao wenyewe,...
Jumapili, 28 Julai 2019
Sauti ya Mungu | Sura ya 98
Julai 28, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu | Sura ya 98
Mambo yote yatakuja juu ya kila mmoja wenu, na yatawawezesha kujua zaidi juu Yangu na kuwa na uhakika zaidi juu Yangu. Yatawawezesha kunijua, Mungu mmoja Mwenyewe, kunijua Mimi Mwenye uweza, kunijua Mimi Mungu Mwenyewe mwenye mwili. Baadaye, Nitatoka katika mwili, Nirudi Sayuni, Nirudi katika nchi nzuri ya Kanaani,...
Jumatatu, 22 Julai 2019
Sauti ya Mungu | sura ya 99
Julai 22, 2019neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu | sura ya 99
Kwa sababu mwendo wa kazi Yangu unaongeza kasi, hakuna anayeweza kuenda mwendo sawa na nyayo Zangu, na hakuna anayeweza kupenya akili Yangu, lakini hii ndiyo njia tu ambayo lazima isafiriwe. Hii ni “wafu” yaani wakati Ninapoongea kuhusu kufufuliwa kutoka kwa wafu (inarejelea kukosa uwezo wa kufahamu mapenzi Yangu, kukosa...
Ijumaa, 19 Julai 2019
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 100
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 100
Ninawachukia wale wote ambao hawajajaaliwa na kuchaguliwa na Mimi. Kwa hiyo ni lazima Niwafukuze watu hawa kutoka katika nyumba Yangu mmoja baada ya mwingine, hivyo hekalu Langu litakuwa takatifu na bila doa, nyumba Yangu itakuwa mpya daima na haitakuwa nzee kamwe, jina Langu takatifu litaenezwa milele na watu...
Jumanne, 16 Julai 2019
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 101
Julai 16, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 101
Sitakuwa mwenye huruma kwa yeyote anayeingilia usimamizi Wangu ama anayejaribu kuiharibu mipango Yangu. Kila mtu anapaswa kuelewa kile Ninachomaanisha kutoka kwa maneno Ninayosema na lazima aelewe vizuri kile Ninachozungumzia. Kwa kuzingatia hali iliyopo, kila mtu anapaswa kujichunguza: Ni wajibu gani unaotekeleza?...
Jumamosi, 13 Julai 2019
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 102
Julai 13, 2019neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, Ushuhuda, VitabuNo comments

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 102
Nimeongea hadi kwa kiwango fulani na kufanya kazi hadi kwa kiwango fulani; ninyi nyote mnapaswa kuelewa mapenzi Yangu na kwa viwango tofauti muweze kuzingatia mzigo Wangu. Sasa ndicho kipindi muhimu kutoka katika mwili kuingia katika dunia ya roho, na ninyi ndio watangulizi kwa kutagaa enzi, wanadamu wa ulimwengu...
Jumatano, 10 Julai 2019
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 103
Julai 10, 2019Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, sauti-ya-Mungu, ukweli, VitabuNo comments

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 103
Sauti ya mngurumo inatoka, ikiutetemesha ulimwengu mzima, ikiwahanikiza watu, na kuwafanya wachelewe kukwepa, na wengine wanauawa, baadhi wanaangamizwa, na wengine wanahukumiwa. Kweli ni kioja ambacho hakuna yeyote amewahi kukiona awali. Sikiliza kwa makini, milio ya radi inafuatana na sauti za kuomboleza,...
Jumamosi, 6 Julai 2019
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 104
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 104
Watu, matukio na vitu vyote nje Yangu vitakufa na kuwakatika hali ya kutokuwepo, ilhali watu, matukio na vitu vyote vilivyo ndani Yangu vitapata kila kitu kutoka Kwangu na kuingia katika utukufu pamoja na Mimi, kuingia katika Mlima Wangu Sayuni, makazi Yangu, na kuishi pamoja kwa amani nami milele. Niliumba...
Ijumaa, 5 Julai 2019
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 105
Julai 05, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 105
Kwa sababu ya kanuni za maneno Yangu, kwa sababu ya utaratibu wa kazi Yangu, watu hunikana; hili ndilo kusudi Langu la kuzungumza kwa muda mrefu (imezungumzwa kuhusu wazao wote wa joka kubwa jekundu). Ni njia ya hekima ya kazi Yangu; ni hukumu Yangu ya joka kubwa jekundu; huu ni mkakati Wangu, hakuna mtu hata...
Alhamisi, 4 Julai 2019
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 106
Julai 04, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 106
Wale wasioyajua maneno Yangu, wale wasioujua ubinadamu Wangu wa kawaida, na wale wanaokataa uungu Wangu wote wataangamizwa hadi wasikuwepo. Hakuna atakayeachiliwa kutokana na hili, na wote lazima wapitie hili kwa sababu ni amri Yangu ya utawala, na ndicho kifungu kikali zaidi cha amri Yangu. Wale wasioyajua...