Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwaminifu-Mtu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwaminifu-Mtu. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 23 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 61. Si Rahisi Kuwa Mtu Mwaminifu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 61. Si Rahisi Kuwa Mtu Mwaminifu Zixin    Jiji la Wuhan, Mkoa wa Hubei Kupitia kula na kunywa neno la Mungu na kusikiliza mahubiri, nilikuja kuelewa umuhimu wa kuwa mtu mwaminifu na hivyo nikaanza kufanya mazoezi kuwa mtu mwaminifu. Baada ya muda, niliona kuwa nilipata kuingia kiasi katika kuwa mtu mwamin...