Ijumaa, 1 Februari 2019

Viumbe wa Mungu Wanapaswa Kutii Mamlaka Yake

I
Mungu ni moto unaoangamiza ambaye hawezi kustahimili kosa.
Mwanadamu hana haki ya kuingilia kati au kukosoa
kazi na maneno Yake,
lazima ayatii, kwa sababu mwanadamu aliumbwa na Yeye.
Mungu ndiye Bwana, Bwana wa uumbaji,
Akitumia mamlaka Yake kutawala watu Wake.
Viumbe wote wanapaswa kuyatii,
kufanya kile Anachosema kwa uchaji,
hawapaswi kufikiria, kufikiria au kupinga.
II
Ingawa wewe ni jasiri, mwenye kiburi, asiyetii maneno ya Mungu,
Yeye hukabiliana na uasi wako kwa uvumilivu,
Ataipoza hasira Yake, aendeleze kazi Yake,
bila kujali mabuu wanaofurukuta katika samadi.
Mungu ndiye Bwana, Bwana wa uumbaji,
Akitumia mamlaka Yake kutawala watu Wake.
Viumbe wote wanapaswa kuyatii,
kufanya kile Anachosema kwa uchaji,
hawapaswi kufikiria, kufikiria au kupinga.
III
Mungu huvumilia yote Anayochukia
kwa ajili ya mapenzi ya Mungu
mpaka matamshi Yake yanapokamilika,
mpaka wakati Wake wa mwisho kabisa.
Mungu ndiye Bwana, Bwana wa uumbaji,
Akitumia mamlaka Yake kutawala watu Wake.
Viumbe wote wanapaswa kuyatii,
kufanya kile Anachosema kwa uchaji,
hawapaswi kufikiria, kufikiria au kupinga.
kutoka katika "Majani Yaangukayo Yatakaporudi kwa Mizizi Yake Utajuta Maovu Yote Ambayo Umefanya" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tufuate: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? Sikiliza zaidi nyimbo za kuabudu

0 意見:

Chapisha Maoni