Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuonekana-kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuonekana-kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 11 Aprili 2019

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake"

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake" Mwenyezi Mungu anasema, “Hakuna mtu mbali na Yeye anayeweza kujua mawazo yetu yote, au kufahamu asili yetu na kiini chetu kwa dhahiri na ukamilifu, ama kuhukumu uasi na upotovu wa binadamu, ama kusema nasi na kufanya kazi kati yetu kama hivi...

Jumamosi, 9 Februari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Miaka Elfu Mbili ya Kungoja

 Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Miaka Elfu Mbili ya Kungoja I Kwamba Mungu amekuwa mwili hutikisa ulimwengu wa kidini,  inavuruga utaratibu wa kidini, na inakoroga roho za wale wanaongoja kuonekana kwa Mungu. Nani asiyeshangazwa na haya? Ni nani asiye na hamu ya kumwona Mungu? Mungu ameishi kwa miaka mingi kati ya binadamu, lakini...

Ijumaa, 18 Januari 2019

Ni Wale Wanaokubali Ukweli Tu Ndio Wanaweza Kuisikia Sauti ya Mungu

I Palipo na kuonekana kwa Mungu, kuna maonyesho ya ukweli na sauti ya Mungu. Ni wale tu wanaokubali ukweli ndio wanaweza kusikia sauti ya Mungu na kushuhudia kuonekana Kwak...

Jumanne, 15 Januari 2019

Mapenzi Ya Mungu Yamekuwa Wazi kwa Kila Mtu

Kutoka kwa uumbaji wa mwanadamu, asili ya Mungu, mapenzi Yake, mali Yake na tabia vimekuwa wazi kwa kila mmoja na wazi kwa wote. I Mungu hajawahi kamwe kuficha kiini Chake, wala tabia ama mapenzi Yake kimakusud...

Alhamisi, 8 Novemba 2018

Neno la Mungu | "Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya"

Neno la Mungu | "Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya" Mwenyezi Mungu anasema, "Kuonekana kwa Mungu hurejelea kuwasili Kwake duniani kufanya kazi Yake. Akiwa na utambulisho na tabia Yake, na katika mbinu Yake ya asili, Yeye hushuka miongoni mwa wanadamu kufanya kazi ya kuanzisha enzi mpya na kukamilisha enzi nyingine. Kuonekana kwa aina hii...

Jumapili, 14 Oktoba 2018

Swahili Christian Song "Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu" | The Lord Has Come Back (Tai Chi Dance)

🎻🎻🎻🎻🎻🎻🎻🎻~~~~🎵🎵🎵🎵🎵🎵~~~~🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️ Swahili Christian Song "Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu" | The Lord Has Come Back (Tai Chi Dance) Kuonekana kwa Mungu kunataja kufika Kwake binafsi duniani ili kufanya kazi Yake. Na utambulisho Wake mwenyewe na tabia, na kwa njia Yake mwenyewe, Yeye anashuka kati ya mwanadamu...

Jumatano, 3 Oktoba 2018

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (2) - Je, Unafahamu Fumbo la Kuonekana kwa Mungu?

🎬👀🎬👀🎬**********💓💓💓~~~~🎼🎼  → → 🎙️🎙️ Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (2) - Je, Unafahamu Fumbo la Kuonekana kwa Mungu? Waumini wengi ndani ya Bwana wanasadiki kwamba Bwana atarudi kwa utukufu, akishuka juu ya wingu na kuonekana kwa watu wote, hivyo siku zote wanayaangalia mawingu kwenye mbingu,...

Ijumaa, 5 Januari 2018

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki “ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” | Haleluya

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki “ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” Chini ya mbingu ya usiku yenye nyota, tulivu na kimya, kundi la Wakristo wanasubiri kwa ari kurudi kwa Mwokozi wakiimba na kucheza kwa muziki mchangamfu.Wanaposikia habari za furaha...