Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwendelezo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwendelezo. Onyesha machapisho yote
Jumapili, 6 Mei 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V (Sehemu ya Nne)
E. Jinsi Ambavyo Shetani Anatumia Mienendo ya Kijamii Kumpotosha Mwanadamu
Mwenyezi Mungu alisema, Je, mienendo ya kijamii ni kitu kipya? (La.) Hivyo ilianza lini?
Jumapili, 15 Aprili 2018
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I (Sehemu ya Pili)
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I
Sehemu ya Pili
Ili kuelewa tabia ya Mungu na Mungu Mwenyewe lazima muanzie na jambo dogo sana. Jambo hilo dogo sana mnalopaswa kuanzia ni nini? Kwanza kabisa, Nimezikusanya baadhi ya sura kutoka kwenye Biblia. Taarifa iliyo hapa chini inayo mistari ya Biblia, ambayo yote inahusiana na mada ya tabia ya Mungu, kazi ya Mungu na Mungu Mwenyewe. Nilipata dondoo hizi mahususi kama nyenzo za marejeleo ili kuwasaidia kujua kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. Hapa Nitawagawiza ili muweze kuona ni aina gani ya tabia na kiini cha Mungu ambacho kimefichuliwa kupitia kwa kazi Yake ya kitambo lakini watu hawajui kukihusu. Sura hizi zinaweza kuwa nzee, lakini mada tunayowasiliana ni kitu kipya ambacho watu hawana na hawajawahi kusikia. Baadhi yenu huenda mkapata hazieleweki—je, kule kuwataja Adamu na Hawa na kurudi kwa Nuhu si kurudia hatua sawa tena? Haijalishi ni nini mnafikiria, sura hizi ni zenye manufaa kwa mawasiliano ya mada hii na zinaweza kutumika kama maandishi ya mafunzo au nyenzo za matumizi ya kwanza katika ushirika wa leo. Mtaelewa nia Zangu za kuchagua sehemu hizi kufikia wakati Nitakapoumaliza ushirika huu. Wale ambao wamesoma Biblia awali huenda wameona mistari hii michache lakini huenda hawajaelewa. Hebu tuangalie haraka kwanza kabla ya kupitia mistari hii mmoja baada ya mwingine kwa kina zaidi.
Ijumaa, 13 Aprili 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII
Mhutasari wa Mamlaka ya Mungu, Tabia ya Haki ya Mungu, na Utakatifu wa Mungu
Mwenyezi Mungu: Mnapomaliza maombi yenu, je, mioyo yenu inahisi utulivu katika uwepo wa Mungu? (Ndiyo.) Ikiwa moyo wa mtu unaweza kutulizwa, ataweza kusikia na kuelewa neno la Mungu na ataweza kusikia na kuuelewa ukweli.
Mhutasari wa Mamlaka ya Mungu, Tabia ya Haki ya Mungu, na Utakatifu wa Mungu
Mwenyezi Mungu: Mnapomaliza maombi yenu, je, mioyo yenu inahisi utulivu katika uwepo wa Mungu? (Ndiyo.) Ikiwa moyo wa mtu unaweza kutulizwa, ataweza kusikia na kuelewa neno la Mungu na ataweza kusikia na kuuelewa ukweli.
Jumatano, 11 Aprili 2018
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III (Sehemu ya Pili)
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III
Sehemu ya Pili
Mwenyezi Mungu
alisema, Tumezungumza tu kuhusu kazi yote ambayo Mungu amekamilisha, misururu ya mambo Aliyoyafanya kwa mara ya kwanza. Kila mojawapo ya mambo haya yanahusiana na mpango wa Mungu wa usimamizi na mapenzi ya Mungu.
Jumanne, 10 Aprili 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V (Sehemu ya Kwanza)
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V
Utakatifu wa Mungu (II)
Sehemu ya Kwanza
Habari za jioni kila mtu! (Habari ya jioni Mwenyezi Mungu!) Leo, kaka na dada, hebu tuimbe wimbo. Tafuta mmoja ambao mnapenda na ambao mmeimba mara nyingi kabla. (Tungependa kuimba wimbo wa neno la Mungu “Upendo Safi Bila dosari.”)
Jumapili, 8 Aprili 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II (Sehemu ya Pili)
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II
Tabia ya Haki ya Mungu
Sehemu ya Pili
Ingawaje Hasira ya Mungu ni Fiche na Haijulikani kwa Binadamu, Haivumilii Kosa Lolote
Mwenyezi Mungu alisema, Namna Mungu alivyoshughulikia ubinadamu wote wa ujinga na kutojua ulitokana kimsingi na huruma na uvumilivu.
Jumanne, 3 Aprili 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I (Sehemu ya Pili)
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I
Mamlaka ya Mungu (I)
Sehemu ya Pili
Kwenye Siku ya Nne, Misimu, Siku, na Miaka ya Mwanadamu Iliumbika Huku Mungu Akionyesha Mamlaka Yake kwa Mara Nyingine Tena
Mwenyezi Mungu alisema, Muumba alitumia matamshi Yake kutimiza mpango Wake, na kwa njia hii Alipitisha siku tatu zake za kwanza kwenye mpango Wake. Kwenye siku hizi tatu, Mungu hakuonekana kushughulika kila pahali, au kujichosha Yeye Mwenyewe; kinyume cha mambo ni kwamba, Alikuwa na siku tatu za kwanza nzuri katika mpango Wake na Alitimiza utekelezaji mkubwa wa mabadiliko makubwa ya ulimwengu.
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III (Sehemu ya Kwanza)
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III
Mamlaka ya Mungu (II)
Sehemu ya Kwanza
Mwenyezi Mungu alisema, Leo tutaendelea na ushirika wetu kuhusu mada ya “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee.” Tayari tumekuwa na ushirika mara mbili katika mada hii, wa kwanza kuhusiana na mamlaka ya Mungu na wa pili kuhusiana na tabia ya haki ya Mungu. Baada ya kusikiliza ushirika huu mara mbili, je, umepata ufahamu mpya wa utambulisho wa Mungu, hadhi, na hali halisi? Je, maono haya yamekusaidia kufikia maarifa mazito zaidi na uhakika wa ukweli kuuhusu uwepo wa Mungu? Leo Ninapanga kufafanua mada hii ya “Mamlaka ya Mungu.”
Kuelewa Mamlaka ya Mungu Kutoka kwa Mitazamo Mikubwa na Midogo
Mamlaka ya Mungu ni ya kipekee. Ndiyo maonyesho ya sifa ya, na hali halisi maalum ya, utambulisho wa Mungu Mwenyewe. Hakuna kiumbe ambacho kiliumbwa wala kile ambacho hakikuumbwa kinachomiliki maonyesho ya sifa kama hizi na hali halisi maalum; Muumba tu ndiye anayemiliki aina hii ya mamlaka.
Ijumaa, 30 Machi 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II (Sehemu ya Kwanza)
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II
Tabia ya Haki ya Mungu
Sehemu ya Kwanza
Mwenyezi Mungu alisema, Kwa vile sasa mumesikiliza kikao cha ushirika uliopita kuhusu mamlaka ya Mungu, Ninao ujasiri kwamba mumejihami vilivyo na mseto wa maneno kuhusu suala hili.
Alhamisi, 29 Machi 2018
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III (Sehemu ya Kwanza)
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III
Sehemu ya Kwanza
Mwenyezi Mungu alisema, Vikao hivi kadhaa vya ushirika vimekuwa na athari kubwa kwa kila mmoja wa watu. Kwa sasa, watu wanaweza hatimaye kuhisi uwepo wa kweli wa Mungu na kwamba Mungu kwa hakika yuko karibu sana na wao. Ingawa watu wamemwani Mungu kwa miaka mingi, hawajawahi kuelewa kwa kweli mawazo na fikira Zake kama wanavyozielewa sasa, wala hawajawahi kupata kwa kweli uzoefu wa matendo Yake halisi kama walio nao kwa sasa.
Jumatatu, 26 Machi 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I (Sehemu ya Kwanza)
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I
Mamlaka ya Mungu (I)
Sehemu ya Kwanza
Vikao vyangu mbalimbali vya ushirika vilivyopita vilikuwa vinahusu kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. Baada ya kuvisikiliza vikao hivi vya ushirika, je, unahisi kuwa umefaidi na kupata ufahamu na maarifa kuhusu tabia ya Mungu?
Jumatatu, 5 Machi 2018
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I (Sehemu ya Nne)
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I
Sehemu ya Nne
3. Mungu Atumia upinde wa mvua kuasisi agano na mwanadamu.
(Mwa 9:11-13) Na Nitalithibitisha agano langu nanyi, wala kila chenye mwili hakitafutwa tena kwa maji ya gharika; wala hakutakuwa tena gharika kuiharibu nchi. Na Mungu akasema, Hii ndiyo ishara ya agano Ninalofanya kati yangu na nyinyi na kila kiumbe hai kilicho pamoja nanyi, kwa vizazi vyote mpaka milele: Mimi Nauweka upinde wangu mawinguni, na utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi.
Alhamisi, 22 Februari 2018
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I
Mwenyezi Mungu alisema, Leo tunawasiliana kuhusu mada muhimu. Hii ni mada ambayo imezungumziwa tangu kuanza kwa kazi ya Mungu mpaka sasa, na inayo umuhimu mkuu kwa kila mtu. Kwa maneno mengine, hili ni suala ambalo kila mmoja atakutana nalo kwenye mchakato wote wa kusadiki kwake katika Mungu na suala ambalo lazima lizungumziwe.
Jumapili, 19 Novemba 2017
Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu
Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu
Mwenyezi Mungu alisema, Kila mmoja anapaswa kuchunguza maisha yake upya ya kumwamini Mungu ili kuona iwapo, katika kumtafuta Mungu, ameelewa kwa dhati, amefahamukwa dhati, na kuja kumjua Mungukwa dhati, iwapo anajua kweli ni mawazo gani Mungu Anayo
Jumamosi, 18 Novemba 2017
Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake
Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake
Mwenyezi Mungu alisema, Kwanza, hebu na tuuimbe wimbo wa kumsifu Mungu: Wimbo wa Ufalme (I) Ufalme Umeshuka katika Ulimwengu
Kisaidizi ala cha muziki: Watu wanashangilia Mungu kwa furaha, watu wanamsifu Yeye, sauti zisizohesabika zinaongea kuhusu Mungu mmoja wa kweli, ufalme umeshuka ulimwenguni.