Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Video-za-Nyimbo-na-Ngoma. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Video-za-Nyimbo-na-Ngoma. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 14 Oktoba 2018

Swahili Christian Song "Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu" | The Lord Has Come Back (Tai Chi Dance)

🎻🎻🎻🎻🎻🎻🎻🎻~~~~🎵🎵🎵🎵🎵🎵~~~~🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️ Swahili Christian Song "Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu" | The Lord Has Come Back (Tai Chi Dance) Kuonekana kwa Mungu kunataja kufika Kwake binafsi duniani ili kufanya kazi Yake. Na utambulisho Wake mwenyewe na tabia, na kwa njia Yake mwenyewe, Yeye anashuka kati ya mwanadamu...

Jumatatu, 12 Machi 2018

Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"

Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu I Mwenyezi Mungu mwenye mwili Anaonekana katika siku za mwisho Mashariki, kama tu vile jua la haki likichomoza; mwanadamu ameona mwanga wa kweli ukionekana. Mungu wa haki na mwenye uadhama, mwenye upendo na huruma Anajificha...

Ijumaa, 23 Februari 2018

Pitieni Upendo wa Kweli wa Mungu | Sifa na Ibada "Wimbo wa Mapenzi Matamu"

Pitieni Upendo wa Kweli wa Mungu | Sifa na Ibada "Wimbo wa Mapenzi Matamu" Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako. Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote. Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi. Mimi hujisogeza kulingana na macho Yako; mapenzi yanaonyesha...