Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sinema-za-Injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sinema-za-Injili. Onyesha machapisho yote
Jumamosi, 27 Oktoba 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Gospel Video Clip "Kuibuka na Kuanguka kwa Falme ya Kirumi"
Utambulisho
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Gospel Video Clip "Kuibuka na Kuanguka kwa Falme ya Kirumi"
Milki ya kale ya Kirumi iliinuka na ilianzishwa kwa ajili ya kuenea kwa Ukristo. Kipindi chake cha heri na furaha kubwa kilikaribishwa na kuanzisha Ukristo kama dini yake ya kitaifa. Na ikaharibiwa kutokana na mateso yake...
Alhamisi, 25 Oktoba 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Gospel Movie Segment "Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu Katika Ulimweng"
Utambulisho
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Gospel Movie Segment "Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu Katika Ulimweng"
Wanadamu wamekuwa wakitafuta majibu haya kwa miaka elfu kadhaa: Miili ya mbingu katika ulimwengu inawezaje kwendelea mbele kwa taratibu timilifu kama hiyo? Kwa nini vitu vyote vilivyo hai daima husogea...
Ijumaa, 31 Agosti 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (1) - Hivyo Hivi Ndivyo Bwana Anavyorudi🎬😇👍
Agosti 31, 2018Biblia, Dondoo-za-Filamu, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Sinema-za-Injili, VideoNo comments

Utambulisho
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (1) - Hivyo Hivi Ndivyo Bwana Anavyorudi
Waumini wengi ndani ya Bwana wameusoma unabii ufuatao wa kibiblia: "Wao watamwona yule Mwana wa Adamu akifika kwa mawingu ya mbinguni akiwa na nguvu na utukufu mkubwa" (Mathayo 24:30)....
Ijumaa, 23 Februari 2018
Swahili Gospel Movie "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu Wangu
Fu Jinhua alikuwa mzee wa kanisa la nyumba nchini China. Kama Wakristo wengine wengi, alijitolea kwa Bwana kwa shauku kubwa, na alifanya kazi kwa bidii katika kazi yake kwa ajili Yake. Alikuwa hasa mwenye kujiamini, na alijiona kuwa mtu ambaye alimpenda Bwana kweli. Baada ya kumfuata Bwana kwa miaka mingi, aliamini kwa moyo wote kwamba Biblia...
Ijumaa, 12 Januari 2018
Safina ya Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel Video
Januari 12, 2018Filamu-Fupi-za-Kikristo, Nuhu, Sinema-za-Injili, Video, Video-za-hivi-punde, Video-za-UzoefuNo comments


Safina ya Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel Video
Hebu tumwangalie mwanadamu wakati wa enzi ya Nuhu. Mtu alishiriki katika kila aina ya utendaji wa maovu akikosa kufikiria toba. Hakuna aliyesikiliza neno la Mungu. Ugumu na uovu wao uliamsha hasira...