Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumcha-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumcha-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 8 Aprili 2019

Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Sehemu ya Tatu

Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Sehemu ya Tatu Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”. Maudhui ya video hii: Maonyesho Mahususi ya Kumcha Mungu kwa Ayubu na Kujiepusha na Maovu katika Maisha Yake ya Kila siku Mungu Amruhusu Shetani Kumjaribu Ayubu ili Imani ya...

Jumatatu, 28 Januari 2019

Ni Kama Tu Mtu Anamjua Mungu Ndiyo Anaweza Kumcha Mungu na Kuepuka Uovu

I Ili kuepuka uovu, lazima ujifunze kumcha Mungu. Ili kufikia uchaji, lazima ujifunze kuhusu Mungu. Kujifunza juu ya Mungu lazima utende maneno Yake, kuonja hukumu Yake na nidham...

Jumapili, 27 Januari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Jitoe Kikamilifu Kwa Kazi ya Mungu

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Jitoe Kikamilifu Kwa Kazi ya Mungu I Roho wa Mungu anafanya mambo mazuri sasa. Kazi Yake kati ya Mataifa imeanza. Kufanya kazi haraka na kwa ufanisi, Anagawanya viumbe vyote kwa aina. Itoe nafsi yako yote kwa kazi Yake yot...

Alhamisi, 17 Januari 2019

Ni kwa Kumcha Mungu tu Ndiyo Uovu Unaweza Kuepwa

Tabia ya Mungu ni adhimu na ya ghadhabu. Yeye si mwanakondoo achinjwe na yeyote. Yeye si karagosi, linalochezewa na yeyote anavyopenda. Wala Yeye si hewa, inayoamriwa na watu pot...

Jumatatu, 14 Januari 2019

Maneno ya Mungu ni Njia Ambayo Mwanadamu Anapaswa Kufuata

I Katika kila enzi, Mungu anapofanya kazi Yake duniani, kila mara Yeye hutoa maneno juu ya wanadamu, Huwaambia ukweli fulani. Ukweli huu hutumika kama njia ambayo mwanadamu anapaswa kuzingatia, njia ambayo mwanadamu anapaswa kufuata Ni njia inayomwelekeza mwanadamu kumcha Mungu na kuepuka maovu, na kitu katika maisha yao, na katika safari ya...

Alhamisi, 20 Septemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 13

 neno la Mungu | Sura ya 13 Mwenyezi Mungu alisema, Mungu anachukia urithi wote wa joka kubwa jekundu, na Hulichukia joka kubwa jekundu hata zaidi. Huu ni mzizi wa ghadhabu iliyo ndani ya moyo wa Mungu. Inaonekana kwamba Mungu anataka kutupa vitu vyote ambavyo...

Alhamisi, 19 Julai 2018

Shahidi uzoefu wa Kanisa la Mwenyezi Mungu | Umuhimu wa Uratibu Katika Huduma

Shahidi uzoefu wa Kanisa la Mwenyezi Mungu | Umuhimu wa Uratibu Katika Huduma Mei Jie    Jijini Jinan, Mkoani Shandong Baada ya kubadilisha uongozi wa kanisa kurudi kwa ule wa asili, ubia uliwekwa kwa kila ngazi ya kiongozi katika nyumba ya Mungu. Wakati...