Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo makusudi-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo makusudi-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 16 Septemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Hamsini na Saba

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Hamsini na Saba Je, umechunguza kila fikira na mawazo yako, na kila tendo lako? Uko wazi kuhusu gani kati ya haya yanalingana na mapenzi Yangu na gani hayalingani? Huna uwezo wa kutambua haya! Mbona hujaja mbele Yangu? Je, ni...

maneno ya Mungu | Tamko la Hamsini na Nane📖📖📖📖

maneno ya Mungu | Tamko la Hamsini na Nane Mwenyezi Mungu alisema, Ukiielewa nia Yangu, utaweza kuufikiria mzigo Wangu na unaweza kupata mwanga na ufunuo, na kupata ufunguliwaji na uhuru, kuuridhisha moyo Wangu, kuyaruhusu mapenzi Yangu kwa ajili yako kutekelezwa,...

Jumanne, 22 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 66. Ubia wa Kweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 66. Ubia wa Kweli Fang Li    Jiji la Anyang, Mkoa wa Henan Hivi karibuni nilidhani nilikuwa nimeingia katika ubia wenye kuridhisha. Mshirika wangu na mimi tuliweza kujadili kitu chochote, wakati mwingine hata nikamwomba aonyeshe dosari zangu, na hatukupigana kamwe, hivyo nilidhani tulikuwa tumefanikisha ubia...

Jumatatu, 21 Mei 2018

Maigizo Yaliyosimuliwa ya Hadithi za Kweli "Upendo wa Kweli wa Mungu" (Swahili Subtitles)

Maigizo Yaliyosimuliwa ya Hadithi za Kweli "Upendo wa Kweli wa Mungu" (Swahili Subtitles) Ili kujitengenezea nafasi yake mwenyewe duniani, mhusika mkuu alilazimika kufuata mwenendo wa duniani humu, akihangaika na kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya umaarufu na hadhi. Maisha yake yalilikuwa hasa matupu na yenye maumiv...

Ijumaa, 18 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 72. Nilijifunza Kufanya Kazi na Wengine

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 72. Nilijifunza Kufanya Kazi na WengineLiu Heng    Mkoa wa Jiangxi Kupitia neema na kuinuliwa kwa Mungu, nilichukua jukumu la kuwa kiongozi wa kanisa. Wakati huo, nilikuwa na shauku mno na niliweka azimio mbele ya Mungu: Bila kujali kinachonikabili, sitayatelekeza majukumu yangu. Nitafanya kazi vizuri na yule...

Alhamisi, 10 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Niko Tayari Kukubali Usimamizi wa Wote

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Niko Tayari Kukubali Usimamizi wa Wote Xianshang     Mji wa Jinzhong, Mkoa wa Shanxi Muda mfupi uliopita, kila wakati niliposikia kwamba wahubiri wa wilaya walikuwa wakija kwa kanisa letu, ningehisi kutaharaki kiasi. Sikufichua hisia zangu kwa nje, lakini moyo wangu ulijaa upinzani wa siri. Nilidhani:...

Jumamosi, 28 Aprili 2018

Ulinzi Bora Zaidi wa Mungu kwa Wanadamu

 Ulinzi Bora Zaidi wa Mungu kwa Wanadamu Mji wa Kuiqian Rizhao, Mkoa wa Shandong Kituo changu katika maisha, au hadhi, kilikuwa kitu ambacho sikuweza kamwe kukiachilia, na wakati Mungu alitengeneza mazingira yaliyonifichua, nilikuwa hasi, nikilalamika, na kukata tamaa tu. Ni kwa njia...

Jumatatu, 23 Aprili 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Tano

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Tano Mwenyezi Mungu alisema, Mungu anapoweka mahitaji kwa wanadamu ambayo ni magumu kwao kueleza, na maneno Yake yanapogonga moja kwa moja katika moyo wa mwanadamu na watu wanatoa mioyo ya dhati ili Afurahie, basi Mungu huwapa watu nafasi ya kutafakari, kufanya uamuzi, na kutafuta njia ya kutenda....