Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada “Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki”

Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale, na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki. Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga, wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.

Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | “Bwana Wangu Ni Nani” ( Filamu za Injili )

Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.”

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki “ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” | Haleluya

Mungu ametutunza daima–Yeye amesikiliza maombi yetu! Anajua tumekuwa tukitamani kurejea Kwake! Sasa kwa hakika Amerejea! Tunasubiri nini bado? Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu—Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!

NYENDO ZA MATESO YA KIDINI NCHINI CHINA (Christian Videos) swahili

Wakristo wanaoteswa katika filamu hii ni watu kutoka kwa vikundi vya kidini na madhehebu tofauti ambao walitafuta ukweli, na ambao waliisikia sauti ya Mungu na hivyo wakarudi kwa Mwenyezi Mungu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mfululizo-wa-Maonyesho-Mbalimbali. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mfululizo-wa-Maonyesho-Mbalimbali. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 24 Oktoba 2018

Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family


Utambulisho


Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family

Chi Shou, mchungaji wa dini ambaye amekuwa muumini wa Bwana kwa miaka arubaini, daima ameshikilia mitazamo kwamba "maneno na kazi yote ya Bwana yako ndani ya Biblia," na kwamba "imani katika Bwana haiwezi kuacha Biblia, na kuiamini Biblia humaanisha kumwamini Bwana."

Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" | The Son of Man Has Come to Earth


Utambulisho


Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" (Mazungumzo Chekeshi) | The Son of Man Has Come to Earth

Katika siku za mwisho, hali ya moyo ya Wakristo wanaongoja kurudi kwa Bwana Yesu inakuwa kali sana, lakini ni kwa vipi, hasa, Bwana atarudi? Baadhi wanasema, "Bwana Yesu atakuja na mawingu." Wengine wanasema, "Unabii unaotabiri kurudi Kwake nao unasema, 'Tazama, mimi nakuja kama mwizi' (Ufu 16:15).

Jumapili, 21 Oktoba 2018

Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)


Utambulisho


Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)

Zheng Xinming, mwanamume mzee wa karibu miaka sabini, ni Mkristo wa dhati. Kwa sababu ya imani yake katika Bwana, aliwekwa kizuizini na kufungwa gerezani, na kuhukumiwa miaka nane. Alipoachiliwa, bado alikuwa ameorodheshwa na Polisi wa Kikomunisti wa China kama mlengwa wa ufuatiliaji wa kuzingatiwa.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Sketch "Onyo Kutoka kwa Historia" (Kichekesho)


Utambulisho🎬🎬🎬👀


Swahili Christian Sketch "Onyo Kutoka kwa Historia" (Kichekesho)

Onyo Kutoka kwa HistoriaMiaka elfu mbili iliyopita, wakati Bwana Yesu alipotokea na kufanya kazi, Mafarisayo walikwamia sheria na kukashifu kazi Yake, wakisema kuwa kazi Yake ilienda zaidi ya Maandiko.Ili kulinda hali zao na maisha yao, walijitahidi kwa nguvu zao zote ili kuwazuia watu kutafuta kazi ya Bwana Yesu, na kujiunga na serikali ya Kirumi kumsulubisha msalabani.

Jumamosi, 20 Oktoba 2018

Umeme wa Mashariki | Mchezo Mfupi wa Kuchekesha "Kukusanyika katika Zizi la Ng'ombe" | A Horrible Experience in a Meeting


Utambulisho🎬👀👀


Umeme wa Mashariki | Mchezo Mfupi wa Kuchekesha "Kukusanyika katika Zizi la Ng'ombe" | A Horrible Experience in a Meeting

Kwa sasa, mateso ya Wakristo ya serikali inayomkana Mungu ya CCP yanaongezeka kila siku. Waumini wanakabiliwa na kizuizi kwa kutenda imani yao mara kwa mara; hata hawawezi kupata pahali pa kukutana kwa amani. Bila chaguo jingine, Liu Xiumin anaweza tu kutayarisha mkutano na ndugu katika zizi lake la ng'ombe.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mchezo Mfupi wa Kuchekesha | "Njama za Polisi" (Swahili Subtitles)


Utambulisho🎬🎬🎬👀


Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mchezo Mfupi wa Kuchekesha | "Njama za Polisi" (Swahili Subtitles)

Ili kuondoa imani za dini, serikali ya CCP ambayo inakana Mungu mara kwa mara inatumia mikakati ya kuchunguza Wakristo kama vile kuendesha uchunguzi wa siri na kufuatilia ili kuwafutilia mbali wote. Kichekesho cha Njama za Polisi kinahusu ushirikiano wa maafisa waovu wa CCP katika sura fiche na ofisa msaidizi, punda anayevaa ngozi ya simba, anayeendesha ufuatiliaji wa siri wa kuwatia mbaroni Wakristo wanaokusanyika kwenye nyumba ya Zhao Yuzhi.

Jumatatu, 17 Septemba 2018

Wimbo wa Injili "Ni Muumba Pekee Anayemhurumia Binadamu Huyu" | The Love of God Is the Truest Love

🎼🎼     → → 🎙️🎙️  ↓↓🎻🎻🎻🎻~~~😘😘****💞💞💞
Wimbo wa Injili "Ni Muumba Pekee Anayemhurumia Binadamu Huyu" | The Love of God Is the Truest Love

Muumba yuko miongoni mwa binadamu siku zote,
kwamba siku zote Anazungumza na binadamu na uumbaji mzima,
na kwamba Anatekeleza matendo mapya, kila siku.
Hali Yake halisi na tabia vyote vimeelezewa katika mazungumzo Yake na binadamu;

Swahili Praise Song "Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu" Thank and Praise the Lord for His Grace


Utambulisho


🎼🎼→ → 🎙️🎙️↓↓🎻🎻🎻🎻~~~😘😘→ →💓💓****🌻🌻🌻↓↓💞💞💞→ →🌻🌻🌻

Jua la haki linainuka Mashariki.
Ee Mungu! Utukufu Wako unajaza mbingu na dunia.
Mpendwa wangu, upendo Wako unauzunguka moyo wangu.
Wale wanaotafuta ukweli—wanampenda Mungu, kila mmoja.
Asubuhi na mapema, ingawa naamka peke yangu,
furaha iko moyoni mwangu ninavyoyatafakari maneno ya Mungu.

Ijumaa, 7 Septemba 2018

Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies


Utambulisho


Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies

Siku moja huenda nikakamatwa na kuteswa na CCP,
kuteseka huku ni kwa ajili ya haki, ambayo najua moyoni mwangu.
Maisha yangu yakitoweka mara moja ghafla bin vu,
bado nitasema kwa fahari kwamba nimemkubali Kristo wa siku za mwisho.

Jumatano, 5 Septemba 2018

🎬Swahili Christian Worship Song "Upendo wa Mungu Hutuleta Karibu Zaidi Pamoja"🎼🎼     → → 🎙️🎙️


Utambulisho


Swahili Christian Worship Song "Upendo wa Mungu Hutuleta Karibu Zaidi Pamoja"

Ingawa tumetengwa na maziwa na milima isiyohesabika,
sisi tuko pamoja, bila mipaka kati yetu,
tukiwa na rangi tofauti za ngozi na kuzungumza ndimi tofauti.