Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-Mwenyewe. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-Mwenyewe. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 11 Septemba 2018

Maonyesho ya Mungu | "Unapaswa Kujua kuwa Mungu wa Vitendo ni Mungu Mwenyewe"

Utambulisho Maonyesho ya Mungu | "Unapaswa Kujua kuwa Mungu wa Vitendo ni Mungu Mwenyewe🎬👀😇👍" Mwenyezi Mungu alivyosema, "Kuonekana kwa Mungu katika mwili kunamaanisha kuwa kazi yote na maneno ya Roho wa Mungu yanafanywa katika ubinadamu wake wa kawaida, na kupitia mwili Wake uliopatikana. Kwa maneno mengine, Roho...