Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ukamilifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ukamilifu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 22 Januari 2019

Binadamu wa Asili Walikuwa Viumbe Wanaoishi Walio na Roho

I Hapo mwanzo Mungu aliumba binadamu. Yaani, Aliumba baba wa binadamu Adamu, aliyegusika na kuumbwa kikamilifu, aliyejaa uzima. Adamu aliamka na utukufu wa Mungu ukimzunguka. Kisha Mungu akamuumba mwanamke wa kwanza—Haw...

Jumapili, 2 Desemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko La Kwanza

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Kwanza Je, wale wanaoshuhudia maneno Yangu huyakubali kwa kweli? Je, mnanijua kwa kweli? Mmejifunza utiifu kweli? Ninyi hutumia rasilimali kwa ajili Yangu kwa uaminifu? Mmekuwa na ushuhuda thabiti, usiokubali kushindwa Kwangu...

Jumapili, 20 Mei 2018

70. Kazi ya Mungu ni Ya Hekima Sana!

70. Kazi ya Mungu ni Ya Hekima Sana! Shiji    Jiji la Ma’anshan , Mkoa wa Anhui Wakati wa kufanya kazi kwangu kama kiongozi katika kanisa, kiongozi wangu mara nyingi angeshirikiana mifano ya kushindwa kwa wengine ili kutumikia kama somo kwetu. Kwa mfano: Viongozi wengine walizungumza tu kuhusu elimu na mafundisho lakini walikosa kutaja...