Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)” Sehemu ya Tano
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo imani. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo imani. Onyesha machapisho yote
Jumapili, 31 Machi 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)” Sehemu ya Tano
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)” Sehemu ya Tano
Yaliyopendekezwa: Neno la Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)” Uendelezo wa Sehemu ya Pili
Kuhusu Sisi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
Jumapili, 20 Januari 2019
Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Kile Ambacho Mungu Anakamilisha Ni Imani
Januari 20, 2019imani, Kazi-ya-Mungu, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Mwenyezi-Mungu, VitabuNo comments
Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Kile Ambacho Mungu Anakamilisha Ni Imani
I
Imani kuu, upendo mkubwa vinahitajika kutoka kwako katika kazi ya siku za mwisho.
Unaweza kujikwaa kama wewe si mwangalifu, kwa sababu kazi hii sio kama awali.
Kile ambacho Mungu anakamilisha ni imani ya wanadamu.
Jumamosi, 5 Januari 2019
Mmempa Mungu Nini Kama Malipo?
Januari 05, 2019imani, Injili, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
I
Mungu amekuwa kati yenu
kwa majira kadhaa ya kupuputika na ya kuchipua.
Ameishi nanyi kwa muda mrefu.
Mbele Yake ni matendo yenu mangapi maovu yamenyiririka?
Maneno ya dhati mnayoyasema, yanarudisha mwangwi katika masikio ya Mungu.
Ijumaa, 7 Desemba 2018
Ufafanuzi wa Tamko la Kumi Na Nane
Maneno yote ya Mungu yana sehemu ya tabia Yake; tabia Yake haiwezi kuonyeshwa kwa ukamilifu kwa maneno, kwa hiyo hii inaonyesha kiasi gani cha utajiri kiko ndani Yake. Kile ambacho watu wanaweza kukiona na kukigusa ni, hata hivyo, finyu, kama ulivyo uwezo wa watu. Ingawa maneno ya Mungu ni dhahiri, watu hawawezi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kama maneno haya tu: "Katika mwako wa umeme, kila mnyama hufichuliwa katika hali yake halisi.
Alhamisi, 6 Desemba 2018
Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Tano
Desemba 06, 2018imani, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, ukweli, VitabuNo comments
Tofauti kubwa zaidi kati ya Mungu na mwanadamu ni kwamba kila mara maneno ya Mungu hugonga ndipo, na hakuna kilichofichwa. Kwa hiyo hali hii ya tabia ya Mungu inaweza kuonekana katika maneno ya kwanza ya leo. Kipengele kimoja ni kuwa yanaonyesha tabia halisi ya mwanadamu, na kipengele kingine ni kuwa yanafichua wazi tabia ya Mungu. Hizi ni asili kadhaa za jinsi maneno ya Mungu yanaweza kutimiza matokeo. Hata hivyo, watu hawalielewi hili, kila mara wao huja kujijua tu katika maneno ya Mungu lakini "hawajamchangua" Mungu.
Jumatano, 5 Desemba 2018
Sura ya 8
Desemba 05, 2018imani, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Mungu anenapo neno Lake kutokana na mtazamo wa Roho, sauti Yake huelekezwa kwa wanadamu wote. Mungu anenapo neno Lake kutokana na mtazamo wa mwanadamu, sauti Yake huelekezwa kwa wote wafuatao uongozi wa Roho Wake.
Jumamosi, 1 Desemba 2018
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Saba
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Saba
Kwa kweli hamna imani mbele Yangu na mara kwa mara mnajitegemea wenyewe kufanya mambo. "Hamuwezi kufanya chochote bila Mimi!" Lakini nyinyi watu wapotovu daima mnachukua maneno Yangu ndani ya sikio moja na linatokea nje ya lile nyingine. Maisha siku hizi ni maisha ya maneno; bila maneno hakuna maisha, hakuna uzoefu, wala hakuna imani. Imani iko katika maneno; ni kwa kuegemea zaidi ndani ya maneno ya Mungu ndio mnaweza kuwa na kila kitu.
Jumapili, 11 Novemba 2018
Tamko la Thelathini na Nane
Novemba 11, 2018baraka, imani, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kazi-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Si kwamba imani yako ni nzuri au safi, lakini badala yake, kazi Yangu ni ya ajabu! Kila kitu ni kwa sababu ya rehema Zangu! Hupaswi kuwa na tabia potovu ya ubinafsi au kiburi hata kidogo, vinginevyo kazi Yangu kwako haitaendelea. Lazima uelewe wazi kwamba iwapo watu wanaanguka au kusimama imara si kwa sababu yao, ni kwa sababu Yangu. Leo, kama huelewi vizuri hatua hii, hutaweza kuingia katika ufalme! Lazima uelewe kwamba kile kinachofanywa[a] leo ni kazi ya ajabu ya Mungu; hakina uhusiano na mwanadamu.
Jumatatu, 5 Novemba 2018
Neno la Mungu | "Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu" (Sehemu ya Kwanza)
Neno la Mungu | "Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu" (Sehemu ya Kwanza)
Mungu na kile Alicho. Wale wasiojua kuhusu hatua tatu za kazi ya Mungu hawana uwezo wa kutambua jinsi Mungu anavyoonyesha tabia Yake, wala hawajui hekima ya kazi ya Mungu, na wanasalia kutojua njia nyingi Anazomwokoa mwanadamu, na mapenzi Yake kwa wanadamu wote. Hatua tatu za kazi ndizo maonyesho kamili ya kazi ya kumwokoa mwanadamu. Wale wasiofahamu hatua tatu za kazi watakosa kuelewa njia mbalimbali na kanuni za kazi ya Roho Mtakatifu; wale wanaoshikilia tu imara mafundisho ya dini yanayosalia kutoka katika hatua moja ya kazi ni watu wanaomwekea Mungu mipaka kwa mafundisho ya dini, na wale ambao imani yao kwa Mungu haina udhahiri na uhakika. Watu kama hao kamwe hawawezi kupokea wokovu wa Mungu."
Ijumaa, 2 Novemba 2018
Tamko la Arubaini na Tisa
Novemba 02, 2018Hukumu, imani, Kanisa, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Ili kutumikia kwa uratibu, mtu lazima ajiunge kwa usahihi, na pia awe mchangamfu na dhahiri. Zaidi ya hayo, mtu lazima awe na uchangamfu, nguvu, na kujawa na imani, ili kwamba wengine waruzukiwe na watakuwa wakamilifu. Kunitumikia Mimi lazima utumikie Ninayonuia, sio tu kuupendeza moyo Wangu, lakini zaidi ya hayo kuridhisha nia Zangu, ili Niridhishwe na kile Ninachotimiza ndani yako. Jaza maisha yako na neno Langu, jaza usemi Wako na nguvu Yangu, hili ndilo Ninalohitaji kutoka kwako. Je, kufuata tamaa zako mwenyewe kunafichua mfano Wangu?