Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo neema-ya-mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo neema-ya-mungu. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 24 Machi 2019

Hebu Tuone ni Nani Anayemshuhudia Mungu Vema Zaidi

Ⅰ Mwenyezi Mungu wa kweli, nakupenda. Naimba wimbo wa sifa, nikicheza ngoma ya furaha na changamfu, kwa ajili Yako tu, Mwenyezi Mungu. Tunaweza kukusifu Wewe kama leo—haya Mungu ameamua kabla. Mungu wa kweli Ametushinda; sote tunakuja kumsifu Yey...