Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kiumbe-Aliyeumbwa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kiumbe-Aliyeumbwa. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 12 Aprili 2019

18. Meupe na Safi ni Maji yaliyo Kando ya Kiti cha Enzi cha Mungu

Ⅰ Maji yaliyo kando ya kiti cha enzi cha Mungu, safi na meupe, yanatulisha sisi. Neno la Mungu, maji ya uzima, mtiririko unaostawisha mioyo yetu. Mwenyezi Mungu, tunakusifu Wewe. Shukrani ziwe Kwako na mwanga Wako! Kutoka kwa upotovu Ulituokoa, hivyo sasa tunaishi katika mwanga Wak...

Ijumaa, 29 Machi 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 98

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 98 Mambo yote yatakuja juu ya kila mmoja wenu, na yatawawezesha kujua zaidi juu Yangu na kuwa na uhakika zaidi juu Yangu. Yatawawezesha kunijua, Mungu mmoja Mwenyewe, kunijua Mimi Mwenye uweza, kunijua Mimi Mungu Mwenyewe mwenye mwili. Baadaye, Nitatoka katika mwili, Nirudi Sayuni, Nirudi katika nchi nzuri ya...

Jumamosi, 9 Machi 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Fumbo la Kupata Mwili (1)

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Fumbo la Kupata Mwili (1) Katika Enzi ya Neema, Yohana alimwandalia Yesu njia. Hangeweza kufanya kazi ya Mungu Mwenyewe ila alitimiza tu kazi ya mwanadamu. Ingawa Yohana alikuwa mtangulizi wa Bwana; hangeweza kumwakilisha Mungu; alikuwa tu...

Alhamisi, 31 Januari 2019

Kiumbe Aliyeumbwa Anapaswa Kuwa Chini ya Mungu

I Haijalishi nini Mungu anachouliza kutoka kwako, toa kikamilifu. Onyesha uaminifu wako Kwake mpaka tu mwisho kabisa. Ukimwona kwenye kiti cha enzi na tabasamu ya furaha siku hiyo unaiacha dunia hii nyuma, unaweza kucheka kwa furaha unapofunga macho yak...

Jumatatu, 21 Januari 2019

Wajibu wa Mtu ni Wito wa Kiumbe Aliyeumbwa

I Wajibu wa mwanadamu hauhusu hata kidogo yeye kubarikiwa au kulaaniwa. Wajibu wake ni kile anachopaswa kutimiza bila malipo au masharti. "Kubarikiwa" kunamaanisha kufurahia wema baada ya mwanadamu kuhukumiwa na kufanywa mkamilif...

Jumatatu, 14 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Sita

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Sita Mwenyezi Mungu alisema, Kwa watu, Mungu ni mkuu mno, mwenye utele mno, wa ajabu mno, Asiyeeleweka mno; machoni pao, maneno ya Mungu hupaa juu, na huonekana kama kazi bora sana ya ulimwengu. Lakini kwa vile...

Jumamosi, 28 Aprili 2018

Ulinzi Bora Zaidi wa Mungu kwa Wanadamu

 Ulinzi Bora Zaidi wa Mungu kwa Wanadamu Mji wa Kuiqian Rizhao, Mkoa wa Shandong Kituo changu katika maisha, au hadhi, kilikuwa kitu ambacho sikuweza kamwe kukiachilia, na wakati Mungu alitengeneza mazingira yaliyonifichua, nilikuwa hasi, nikilalamika, na kukata tamaa tu. Ni kwa njia...