Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo nyimbo-za-dini. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo nyimbo-za-dini. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 23 Septemba 2019
Wimbo wa dini | "Ni Wakati Tu Ambapo Mungu Anakuwa Mwili Ndipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake"
Wimbo wa dini | "Ni Wakati Tu Ambapo Mungu Anakuwa Mwili Ndipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake"
Ni Wakati tu Mungu anapojinyenyekeza kwa kiwango fulani,
kumaanisha Anakuwa mwili ili kuishi kati ya wanadamu,
ndipo wataweza kuwa wasiri Wake,
ndipo watakuwa marafiki Zake wa karibu.
Mwanadamu anawezaje kupata sifa ya kuwa mwandani wa Mungu
Wakati...
Jumatano, 31 Julai 2019
Neno la Mungu | “Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye Anayemwamini Mungu Kweli” (Dondoo)
Neno la Mungu | “Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye
Anayemwamini Mungu Kweli” (Dondoo)
Mwenyezi Mungu anasema, “Kuchunguza kitu cha aina hii sio vigumu, lakini kunahitaji kila mmoja wetu ajue ukweli huu: Yeye Aliye mwili wa Mungu Atakuwa na dutu ya Mungu, na Yule Aliye Mungu katika mwili Atakuwa na maonyesho ya Mungu. Kwa maana Mungu Hupata...
Alhamisi, 25 Julai 2019
Wimbo Mpya wa Dini 2019 | "Upendo Safi Bila Dosari" (Lyrics Video)
Wimbo Mpya wa Dini 2019 | "Upendo Safi Bila Dosari" (Lyrics Video)
I
Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.
Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.
Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,
hutazamii kupata kitu, cha malipo.
Ukipenda...
Jumanne, 14 Mei 2019
Wimbo wa Injili | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" | The Great Mission of Christians
Wimbo wa Injili | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" | The Great Mission of Christians
I
Kama washiriki wa jamii ya wanadamu,
kama wafuasi wa Kristo wa dhati,
ni wajibu wetu, ni jukumu letu
kutoa akili zetu na miili yetu
kwa kutimiza agizo la Mungu.
Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,
na twaishi, kwa...
Jumanne, 29 Januari 2019
Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Mungu Anatarajia Imani ya Kweli ya Mwanadamu
Januari 29, 2019Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Mwenyezi-Mungu, nyimbo-za-dini, VitabuNo comments

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Mungu Anatarajia Imani ya Kweli ya Mwanadamu
I
Mungu daima humchukulia mwanadamu kwa kiwango kikali.
Ikiwa uaminifu wako unakuja na masharti,
Hataki hiyo yako unayodai kuwa imani.
Mungu huwachukia watu wanaomdanganya kwa makusudi
na kumsihi kwa mahitaj...