Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wokovu-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wokovu-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 11 Juni 2019

Ndio Nimeanza Tu Kutembea Njia Sahihi ya Uzima

Shi Han Mkoa wa Hebei Nilizaliwa kwa familia maskini ya wakulima. Nimekuwa mwenye busara tangu utotoni, ikimaanisha sijawahi kupigana na watoto wengine na niliwatii wazazi wangu, jambo lililonifanya “msichana mzuri” wa kawaida machoni mwa watu wazima. Wazazi wengine wote...

Jumamosi, 8 Juni 2019

Kuzaliwa Upya

Yang Zheng Mkoa wa Heilongjiang Nilizaliwa katika familia maskini ya vijijini iliyokuwa nyuma kimaendeleo katika kufikiri kwao. Nilikuwa ovyo kutoka utotoni na hamu yangu ya hadhi ilikuwa hasa yenye nguvu. Baada ya muda, kupitia ushawishi wa jamii na mafunzo ya kitamaduni,...

Jumatano, 24 Aprili 2019

4. Kwa nini Mungu hamtumii mwanadamu kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho lakini badala yake Yeye ni lazima apate mwili na kuifanya Mwenyewe?

I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu 4. Kwa nini Mungu hamtumii mwanadamu kufanya kazi Yake ya  hukumu katika siku za mwisho lakini badala yake Yeye ni lazima  apate mwili na kuifanya Mwenyewe? Aya za Biblia za Kurejelea: “Kwa kuwa Baba hamhukumu mwanadamu yeyote, ila amekabidhi hukumu...

Jumamosi, 2 Machi 2019

Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa

Kijiji cha kishamba kilichojikokota kimaendeleo, wazazi wangu waliochoka kwa sababu ya kazi zao, maisha ya shida za kifedha … kumbukumbu hizi za huzuni zilitia alama kwa mawazo yangu machanga, zilikuwa ni hisia yangu ya kwanza ya “majaliwa...

Jumapili, 24 Februari 2019

Hakuna Anayeelewa Matamanio ya Mungu Yenye Bidii ya Kumwokoa Mwanadamu

I Wakati wa kazi ya Mungu ya wokovu, Atawaokoa wale wote Anaoweza kuwaokoa kwa kiasi kikubwa mno iwezekanavyo, na Hatamwacha yeyote. Lakini wale wote wasioweza kubadilisha tabia yao, au kumtii Mungu kabisa watakuwa walengwa wa adhab...

Jumatatu, 11 Februari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Unaijua Kazi ya Mungu?

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Unaijua Kazi ya Mungu? I Kazi ya Mungu katika mwili si ya kuvutia, wala haijazingirwa na mafumbo. Ni ya kweli na hakika, kama vile moja ikiongezwa moja ni mbili; haijafichwa na haina unafik...

Ijumaa, 8 Februari 2019

Watu Ambao Wamepatwa na Mungu Watafurahia Baraka za Milele

I Kazi ya Mungu huendelea kwa miaka elfu sita, na Aliahidi kwamba udhibiti wa yule muovu kwa wanadamu wote pia haungekuwa kwa zaidi ya miaka elfu sit...

Jumamosi, 13 Oktoba 2018

Swahili Christian Music Video | "Ni Watu Waaminifu Pekee Walio na Mfano wa Binadamu" | God Led Me Onto the Right Path of Life

🎼🎼     → → 🎙️🎙️  ↓↓🎻🎻🎻🎻@@@@ swahili gospel music | "Ni Watu Waaminifu Pekee Walio na Mfano wa Binadamu" | God Led Me Onto the Right Path of Life I Kwa ajili ya faida niliacha viwango vyote vya mwenendo, na bila haya nikatumia udanganyifu kutafuta riziki yangu. Sikujali chochote kuhusu dhamiri au maadili,...

Jumanne, 25 Septemba 2018

Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki

Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki Chen Lu Wilaya ya Tonglu, Mkoa wa Zhejiang Baada ya mlo mkuu wa siku, polisi waliongeza mkazo wa masaili yao. Walinitisha vikali, wakisema: "Tuambie! Ni nani kiongozi wa kanisa lako? Kama hutuambii, tuna njia zingine, tunaweza...