Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo upendo-kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo upendo-kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 1 Aprili 2019
Wimbo wa Kuabudu | Maisha yangu ni Huru na Yamewachiliwa
Aprili 01, 2019furaha, Mapenzi-ya-Mungu, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, upendo-kwa-Mungu, VitabuNo comments
Ⅰ
Moyo wangu unapaa nje, unapaa nje.
Nitalipiza upendo wa Mungu, sitakosa kuonyesha hisia tena.
Wakati mmoja nilisoma visivyo mapenzi ya Mungu na sikujali kumhusu Yeye.
Lakini sasa nimeona kuwa Mungu anangoja upendo wangu.
Nitajaribu niwezavyo kumtosheleza Mungu, na kukubali Aupate moyo wangu.
Jumapili, 6 Januari 2019
Jumanne, 25 Desemba 2018
Ahadi kwa Wale Ambao Wamekamilishwa
Desemba 25, 2018imani-katika-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Umeme-wa-Mashariki, upendo-kwa-Mungu, VitabuNo comments
Ni njia gani ambayo Mungu hutumia kumkamilisha mwanadamu? Ni vipengele vipi vinavyojumuishwa? Je, uko tayari kukamilishwa na Mungu? Je, uko tayari kukubali hukumu na kuadibu kwa Mungu? Unajua nini kuhusu maswali haya? Kama huwezi kuzungumzia maarifa kama haya, basi hii inaonyesha kwamba bado huijui kazi ya Mungu na hujapatiwa nuru katu na Roho Mtakatifu.
Jumanne, 18 Desemba 2018
Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Moja
Desemba 18, 2018baraka, Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, upendo-kwa-Mungu, VitabuNo comments
Tabia ya Mungu hujumuishwa katika matamko yote ya Mungu, lakini wazo kuu la maneno Yake ni kufichua uasi wa wanadamu wote na kufunua mambo kama kutotii, kuasi, utovu wa haki, udhalimu, na kutoweza kumpenda Mungu kweli. Ni kiasi kwamba, maneno ya Mungu yamefikia kiwango ambacho Yeye husema kwamba kila kinyweleo katika miili ya watu kina upingaji kwa Mungu, kwamba hata kapilari zao zina ukinzani kwa Mungu.
Jumamosi, 15 Desemba 2018
Maoni Wanayopaswa Kushikilia Waumini
Desemba 15, 2018Mapenzi-ya-Mungu, Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, upendo-kwa-Mungu, VitabuNo comments
Ni kitu gani ambacho mwanadamu amepokea tangu alipomwamini Mungu mara ya kwanza? Umejua kitu gani kumhusu Mungu? Umebadilika kiasi gani kwa sababu ya imani yako kwa Mungu? Sasa mnajua nyote ya kwamba imani ya mwanadamu katika Mungu si kwa ajili ya wokovu wa roho na ustawi wa mwili tu, wala si kuimarisha maisha yake kwa njia ya upendo wa Mungu, na kadhalika.