Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III” Sehemu ya Pili
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo hekima-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo hekima-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Jumamosi, 23 Machi 2019
Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III” Sehemu ya Pili
Machi 23, 2019hekima-ya-Mungu, Kazi-ya-Mungu, Tabia-ya-Mungu, Utongoaji-wa-Neno-la-Mungu, VideoNo comments
Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III” Sehemu ya Pili
Mwenyezi Mungu anasema, “Hakuna kizuizi chochote katika kazi Yake na kile Anachokifanya, na haitawekewa kizuizi chochote na binadamu yeyote, kitu chochote, au kifaa chochote, na haitakatizwa na nguvu zozote za kikatili.
Alhamisi, 20 Desemba 2018
Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini
Desemba 20, 2018hekima-ya-Mungu, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, ukweli, VitabuNo comments
Kwa Mungu, mwanadamu ni kama mtu anayechezewa katika mshiko Wake, kama nudo inyoshwayo kwa mkono katika mikono Yake—inayoweza kufanywa nyembamba au nzito kama apendavyo Mungu, kuifanyia Apendavyo. Ni haki kusema kwamba mwanadamu kwa kweli ni mtu anayechezewa mikononi mwa Mungu, kama paka wa Uajemi ambaye bibi amemnunua kutoka sokoni. Bila shaka, yeye ni mtu anayechezewa mikononi mwa Mungu—na kwa hiyo hakukuwa na chochote cha uongo kuhusu ufahamu wa Petro.
Jumatano, 19 Desemba 2018
Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Sita
Desemba 19, 2018hekima-ya-Mungu, Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Vitabu, VitendoNo comments
Inasemekana kwamba Mungu ameanza sasa kuwaadibu watu, lakini hakuna yeyote anayeweza kusema kwa hakika, hakuna yeyote anayeweza kutoa jibu dhahiri iwapo kusudi la asili la kuadibu huku limewafika wanadamu. Kwani Mungu asema, "Mwanadamu hajawahi kugundua chochote katika kuadibu Kwangu, kwani hafanyi chochote ila kushika nira inayozunguka shingo kwa mikono miwili, macho yake mawili yakiwa yamekodolewa Kwangu, kana kwamba anamwangalia adui kwa makini—na wakati huu tu ndio Nahisi vile amedhoofishwa.
Jumatatu, 22 Oktoba 2018
Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Sura ya 113
Oktoba 22, 2018hekima-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Sayuni, Umeme-wa-Mashariki, Vitabu, wazaliwa-wa-kwanzaNo comments
Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Sura ya 113
Mwenyezi Mungu alisema, Kila kitendo Ninachokifanya kina hekima Yangu ndani yake, lakini mwanadamu hawezi kukielewa kamwe; mwanadamu anaweza tu kuona matendo Yangu na maneno Yangu, lakini hawezi kuuona utukufu Wangu, au kuonekana kwa nafsi Yangu, kwa sababu mwanadamu hasa anakosa uwezo huu. Chini ya hali ya kutombadilisha mwanadamu, wazaliwa Wangu wa kwanza nami tutarejea Sayuni na kubadili sura, ili mwanadamu aweze kuiona hekima Yangu na kudura Yangu.
Jumatatu, 8 Oktoba 2018
Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Sabini
Oktoba 08, 2018hekima-ya-Mungu, Mwenyezi-Mungu, neema-na-huruma, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Sabini
Kwamba siri Yangu imefichuliwa na kuonyeshwa bayana, pasi kufichwa tena, ni kwa njia ya neema Yangu na huruma kabisa. Kwamba neno Langu linaonekana miongoni mwa wanadamu, pasi kufichwa tena, hata zaidi ni kwa neema na huruma Zangu. Ninawapenda wote wanaotumia rasilmali kwa moyo safi kwa ajili Yangu na kujitolea Kwangu. Ninawachukia wale wote waliozaliwa na Mimi ilhali ambao hawanijui, hata hunipinga Mimi.
Jumapili, 20 Mei 2018
70. Kazi ya Mungu ni Ya Hekima Sana!
Mei 20, 2018hekima-ya-Mungu, Kazi-ya-Mungu, ukamilifu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
70. Kazi ya Mungu ni Ya Hekima Sana!
Shiji Jiji la Ma’anshan , Mkoa wa Anhui
Wakati wa kufanya kazi kwangu kama kiongozi katika kanisa, kiongozi wangu mara nyingi angeshirikiana mifano ya kushindwa kwa wengine ili kutumikia kama somo kwetu. Kwa mfano: Viongozi wengine walizungumza tu kuhusu elimu na mafundisho lakini walikosa kutaja upotovu wao au kuwasiliana kwa karibu kuhusiana na ufahamu wao wa jinsi ukweli unavyotumika kwa ukweli.