Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 23 Mei 2019

Wimbo Wa Ufalme (I) Ufalme Umeshuka Duniani

Wimbo Wa Ufalme (I) Ufalme Umeshuka Duniani Ⅰ Ufalme wa Mungu umekuja duniani; Mtu wa Mungu ameshiba na ni tajiri. Nani anaweza kusimama imara na asifurahie? Nani anaweza kusimama imara na asicheze? Ⅱ Ee Zayuni, inua bango lako la ushindi ili kusheherekea kwa aijili Mungu. Imba wimbo wako wa ushindi kueneza jina Lake takatifu duniani. Watu...

Jumamosi, 20 Aprili 2019

Wimbo wa Dini | 220.Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu

Wimbo wa Dini |  220.Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu I Mungu aliumba vitu vyote, na hivyo Yeye hufanya viumbe wote kuja chini ya utawala Wake, na kutii utawala Wake. Anaamuru vitu vyote, akividhibiti katika mikono Yake. II Vitu hai, milima,...

Jumanne, 16 Aprili 2019

20. Katika Familia Ya Mungu, tunakutana na kila mmoja

I Tukipendana, sisi ni familia.  Aa … aa … Katika familia ya Mungu, tunakutana kila mmoja, mkusanyiko wa watu wakimpenda Mungu. Bila upendeleo, kupendana kwa karibu, furaha na utamu ukijaza mioyo yet...

Ijumaa, 12 Aprili 2019

18. Meupe na Safi ni Maji yaliyo Kando ya Kiti cha Enzi cha Mungu

Ⅰ Maji yaliyo kando ya kiti cha enzi cha Mungu, safi na meupe, yanatulisha sisi. Neno la Mungu, maji ya uzima, mtiririko unaostawisha mioyo yetu. Mwenyezi Mungu, tunakusifu Wewe. Shukrani ziwe Kwako na mwanga Wako! Kutoka kwa upotovu Ulituokoa, hivyo sasa tunaishi katika mwanga Wak...

Jumanne, 9 Aprili 2019

Wimbo wa Injili | 16. Wimbo wa Upendo Mtamu

Wimbo wa Injili | 16. Wimbo wa Upendo Mtamu Ⅰ Ndani ya moyo wangu, kuna upendo Wako. Mtamu sana, nasonga karibu na Wewe. Kujali kukuhusu Wewe kunaufanya moyo wangu kuwa mtamu; kukutumikia Wewe kwa mawazo yangu yote. Kinachouongoza moyo wangu, ni upendo Wako; nafuata...

Jumamosi, 6 Aprili 2019

Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma

Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma Kutoka Mashariki ya ulimwengu (Mashariki ... Mashariki ...), mwale wa mwanga unatokea (mwanga ... mwanga ...), ukiangaza njia yote kwenda magharibi. Mwana wa Adamu ameshuka duniani. Mwokozi amerejea, Yeye ni Mwenyezi Mungu. Akionyesha ukweli,...

Ijumaa, 5 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu | Upendo wa Mungu Unaenea Duniani Kote

Wimbo wa Kuabudu | Upendo wa Mungu Unaenea Duniani Kote Ⅰ Mwenyezi Mungu, Wewe ni mwenye haki, Wewe ni mtakatifu. Upendo Wako safi ni kama chembe ya theluji ikicheza hewani, nyeupe, nzuri, inayonukia, ikiniangukia, ikiyeyuka katika upendo wangu mara moja. Kupitia uboreshaji Wako upendo wangu Kwako umekuwa halisi kabis...

Alhamisi, 4 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu | “Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu” | Kids Dance

Wimbo wa Kuabudu | “Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu” | Kids Dance Safi na mwaminifu, kama mtoto bila hatia, mchangamfu na mwenye nguvu za ujana, wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni. Bila udanganyifu, na mioyo iliyo wazi tu, wao ni waadilifu. Wanatoa mioyo yao kwa Mungu na kupata imani Yake. Wao ni watu waaminifu...

Jumatatu, 1 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu | Maisha yangu ni Huru na Yamewachiliwa

Wimbo wa Kuabudu | Maisha yangu ni Huru na Yamewachiliwa Ⅰ Moyo wangu unapaa nje, unapaa nje. Nitalipiza upendo wa Mungu, sitakosa kuonyesha hisia tena. Wakati mmoja nilisoma visivyo mapenzi ya Mungu na sikujali kumhusu Yeye. Lakini sasa nimeona kuwa Mungu anangoja...

Jumamosi, 30 Machi 2019

Wimbo wa Kuabudu | Hatimaye Nimemwona Mungu

Wimbo wa Kuabudu | Hatimaye Nimemwona Mungu Ⅰ Nilikuja katika uwepo Wako siku hiyo, moyo wangu ukiwa umejaa tamaa ya kina. Macho yangu yalipojawa na machozi, mkono Wako ulinipapasa. Majonzi na huzuni ulimwagika kutoka moyoni mwangu. Maisha yangu ya awali yakipita mbele ya macho yangu; majonzi na uchungu vikigongana kwa kutanafus...

Jumatano, 27 Machi 2019

Wimbo wa Dini | Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani

Wimbo wa Dini | Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani Ⅰ Nimerejea katika familia ya Mungu, nikiwa mwenye msisimko na furaha. Nina bahati ya kukujua Wewe Mwenyezi Mungu, nimekupa moyo wangu. Ingawa nimepitia katika Dunia ya Mateso, nimeona jinsi Mungu anavyopendez...

Jumapili, 24 Machi 2019

Hebu Tuone ni Nani Anayemshuhudia Mungu Vema Zaidi

Ⅰ Mwenyezi Mungu wa kweli, nakupenda. Naimba wimbo wa sifa, nikicheza ngoma ya furaha na changamfu, kwa ajili Yako tu, Mwenyezi Mungu. Tunaweza kukusifu Wewe kama leo—haya Mungu ameamua kabla. Mungu wa kweli Ametushinda; sote tunakuja kumsifu Yey...

Jumatano, 20 Machi 2019

Wimbo wa dini | Mwenyezi Mungu, Sasa Niko na Wewe

 Wimbo wa dini | Mwenyezi Mungu, Sasa Niko na Wewe Ⅰ Mwenyezi Mungu, sasa kwa sababu tuko na Wewe, masumbuko yanabadilika kuwa furaha. Kula, kunywa, kufurahia maneno Yako, tuko na Wewe kila siku. Maji Yako ya uzima yanatustawisha, tuna ukarimu kwa vyote. Jua ukweli, ingia katika ukweli, yote yanakutegemea Wew...

Jumapili, 17 Machi 2019

Ee Mwenyezi Mungu, Mpendwa Wangu Mzuri

Ⅰ Mwenyezi Mungu, mpendwa wangu mzuri, Una moyo wangu. Unapitia magumu, Unavumilia aibu, yote kwa ajili ya kutuokoa. Unatoa maisha Yako kwangu, naona jinsi Ulivyo mzuri. Unakuja duniani kutoka mbinguni, ukiwa mwenye mwili. Uko hapa Ukiishi na sisi, lakini hakuna anayejua...

Alhamisi, 14 Machi 2019

Wimbo wa injili | Sifu Mafanikio ya Kazi ya Mungu

Ⅰ Kazi kuu ya Mungu inabadilika upesi sana, ni ngumu kuielewa, ya kusadikisha kwa mwanadamu. Tazama pale ulipo, sio kama awali, kila kitu ni kizuri na kipya. Kila kitu kinafufuliwa, vyote kufanyunywa upya, vyote kubadilishwa...

Jumatatu, 11 Machi 2019

wimbo wa kuabudu | Ufalme Takatifu Umeonekana

wimbo wa kuabudu | Ufalme Takatifu Umeonekana Ⅰ Jua la haki hung’aa juu ya nchi zote, linarejesha viumbe vyote vilivyo hai. Watu wa Mungu wanakusanyika kwa furaha, ili kusifu mafanikio Yake makubw...

Alhamisi, 7 Machi 2019

Nyimbo za kuabudu | Joka Kuu Jekundu Linaanguka Kadiri Watu wa Mungu Wanavyokomaa

Nyimbo za kuabudu | Joka Kuu Jekundu Linaanguka Kadiri Watu wa Mungu Wanavyokomaa I Wakati ambapo watu wote watakuwa wamefanywa kamili, na mataifa yote ni ufalme wa Kristo, ngurumo saba zitasikika. Leo ni hatua kuelekea hatua hiyo. Moto umetolewa. Huu ni mpango wa Mungu. Hivi karibuni utafanikishwa. II Ili kukamilisha mpango wa Mungu, malaika...

Jumatano, 6 Machi 2019

Matokeo Yanayofanikishwa na Kumjua Mungu

I Siku moja, utahisi kuwa Muumba si kitendawili tena, Hajawahi kujificha, kamwe Hajafunika uso Wake kutoka kwako; Hayuko mbali na wewe kabisa; Yeye sio Yule unayemtamani tena usiku na mchana lakini huwezi kumfikia kwa hisia zak...

Jumatatu, 4 Machi 2019

Kile Ambacho Wanaopenda Ukweli Wanapaswa Kufuatilia

I Hmm … Hmm … Jinsi unavyofikiri kuhusu utawala wa Mungu na ukweli, inaonyesha kama una moyo, roho, iwapo wewe ni mtu anayependa ukweli. Inaamua ikiwa unaweza kuelewa mamlaka ya Mung...

Alhamisi, 28 Februari 2019

Wimbo wa Kusifu na Kuabudu 2019 “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja”

Wimbo wa Kusifu na Kuabudu 2019 “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja” | Praise and Thank God's Love Uangalie ufalme wa Mungu, ambako Mungu anatawala juu ya yote. Kutoka wakati uumbaji ulipoanza mpaka siku ya sasa, wana wa Mungu waliongozwa wakipitia taabu. Katika milima na mabonde walienda. Lakini sasa katika nuru...