Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kukubali Ukweli. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kukubali Ukweli. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 13 Desemba 2017

Kumwamini Mungu Lazima Kulenge Uhalisi, Si Tamaduni za Kidini

Kumwamini Mungu Lazima Kulenge Uhalisi, Si Tamaduni za Kidini Mwenyezi Mungu alisema, Je, ni desturi ngapi za kidini unazozizingatia? Ni mara ngapi wewe umeasi dhidi ya neno la Mungu na kwenda kwa njia yako mwenyewe? Ni mara ngapi wewe umetia katika vitendo neno...

Jumapili, 26 Novemba 2017

Kukubali Ukweli kwa Hakika Ni Nini?

53. Kukubali Ukweli kwa Hakika Ni Nini? Xiaohe Mji wa Puyang, Mkoa wa Henan Hapo awali, kila wakati niliposoma maneno yaliyofichuliwa na Mungu kuhusu jinsi watu hawakubali ukweli, sikuamini kwamba maneno hayo yangetumika kwangu. Nilifurahia kula na kunywa neno la Mungu...