Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Majaribio. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Majaribio. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 16 Januari 2019

Anachotaka Mungu Katika Majaribio Ni Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

I Unapokuwa mchanga, ujasiri wako ni wa chini sana; ni vigumu kujua cha kufanya wakati una ufahamu finyu wa ukweli. Kama umakabiliwa na majaribio yako, unaweza kuomba kwa dhati, umwache Mungu autawale moyo wako, uvitoe vyote unavyovipend...

Jumatatu, 3 Desemba 2018

Sura ya 1

Kama tu Mungu alivyosema, “Hakuna anayeweza kuelewa mzizi wa maneno Yangu, wala kusudi la maneno haya.” Kama Isingekuwa uongozi wa Roho wa Mungu, kama isingekuwa kwa majilio ya maneno Yake, wote wangeangamia chini ya kuadibu Kwak...

Jumatatu, 24 Septemba 2018

Majonzi Yalivutia Upendo Wangu kwa Mungu(I)

Majonzi Yalivutia Upendo Wangu kwa Mungu(I) Meng Yong Mkoa wa Shanxi Mimi kwa asili ni mtu mwaminifu, ikiwa ndiyo maana nimekuwa nikidhulumiwa daima na watu wengine. Kwa sababu hiyo, nimeonja dharau ya ulimwengu wa mwanadamu na nilihisi maisha yangu yakiwa matupu na bila...

Jumamosi, 19 Mei 2018

67. Zawadi ya Kupendeza Zaidi Ambayo Mungu Amenipa

67. Zawadi ya Kupendeza Zaidi Ambayo Mungu Amenipa Yixin    Jiji la Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei Kabla, ningewasikia mara kwa mara ndugu zangu wa kiume na wa kike wakisema, "Kila kitu ambacho Mungu hufanya ni kwa ajili ya matokeo mazuri; ndiyo yote wanayohitaji watu...

Jumamosi, 28 Aprili 2018

Ulinzi Bora Zaidi wa Mungu kwa Wanadamu

 Ulinzi Bora Zaidi wa Mungu kwa Wanadamu Mji wa Kuiqian Rizhao, Mkoa wa Shandong Kituo changu katika maisha, au hadhi, kilikuwa kitu ambacho sikuweza kamwe kukiachilia, na wakati Mungu alitengeneza mazingira yaliyonifichua, nilikuwa hasi, nikilalamika, na kukata tamaa tu. Ni kwa njia...