Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ukombozi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ukombozi. Onyesha machapisho yote
Alhamisi, 3 Januari 2019
230. Dunia Yote Itashangalia na Kumsifu Mungu
I
Ho~ ho~ ho~ ho~
Yule Mungu mmoja wa kweli ambaye huvitawala vitu vyote katika ulimwengu
—Kristo mwenye uweza!
Huyu ni shahidi wa Roho Mtakatif...
Jumamosi, 10 Novemba 2018
Matamshi ya Mungu | "Unajua Nini Kuhusu Imani?"
Matamshi ya Mungu | "Unajua Nini Kuhusu Imani?"
Mwenyezi Mungu anasema, "Ninasema kwamba binadamu ana imani Kwangu kwa sababu Nampa neema nyingi kupindukia, na mambo yapo mengi sana ya kupata. Wayahudi waliniamini Mimi kwa neema Yangu, na wakanifuata Mimi popote Nilipoenda. Binadamu hawa wasiojua wenye maarifa na uzoefu finyu walitafuta tu kuona...
Alhamisi, 8 Novemba 2018
Neno la Mungu | "Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya"
Neno la Mungu | "Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya"
Mwenyezi Mungu anasema, "Kuonekana kwa Mungu hurejelea kuwasili Kwake duniani kufanya kazi Yake. Akiwa na utambulisho na tabia Yake, na katika mbinu Yake ya asili, Yeye hushuka miongoni mwa wanadamu kufanya kazi ya kuanzisha enzi mpya na kukamilisha enzi nyingine. Kuonekana kwa aina hii...
Jumamosi, 2 Desemba 2017
Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu
Desemba 02, 2017imani-katika-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, ukombozi, utukufu, VitabuNo comments


Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu
Mwenyezi Mungu alisema,
Mungu huzungumza maneno Yake na kufanya kazi Yake kulingana na enzi tofauti, na katika enzi tofauti, Anazungumza maneno tofauti. Mungu hafuati sheria, ama kurudia kazi ya awali, ama kuhisi hali...