
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nitamtosheleza-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nitamtosheleza-Mungu. Onyesha machapisho yote
Jumatano, 22 Agosti 2018
Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu
Agosti 22, 2018Hukumu, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Nitamtosheleza-Mungu, Nyimbo, Wimbo-wa-Uzoefu-wa-Maisha, WokovuNo comments


Wimbo wa Uzoefu wa Maisha |
Nimeuona uzuri wa Mungu
I
Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara.
Nikaamka na kuangalia kuona,
ni nani aliye pale akizungumza.
Sauti yake ni nyororo lakini kali,
picha Yake nzuri!
Nateseka kupigwa na kuvumilia maumivu...