Jumatatu, 28 Januari 2019

Mungu Anatengeneza Kesho Nzuri Zaidi kwa Binadamu

Juu ya hao wakulima wa Kanaani ambao wanakaribisha kurejea kwa Mungu,
Anatoa matunda Yake mazuri na anatamani tu mbingu
na mwanadamu kuishi milele, na mwanadamu kuishi milele.
Mungu anatamani mwanadamu na mbingu wawe katika mapumziko milele.
Anatamani misonobari isiyokauka iwe na Yeye milele
na kupiga hatua (oh na kupiga hatua) kwenda katika enzi inayoofaa (kwenda katika enzi inayoofaa),
na kupiga hatua (oh na kupiga hatua) kwenda katika enzi inayoofaa.
Yeye anatoa (anatoa) maisha Yake yote kwa binadamu.
Bila neno, Mungu anafanya kazi kwa bidii
kulima shamba linalopendeza la upendo kwa binadamu.
Hajawahi kutoa madai yoyote ya usawa kwa mwanadamu,
daima ameridhia mipango ya mwanadamu,
na kuumba kesho inayopendeza zaidi kwa binadamu.
II
Mungu anaweka hatima ya mwanadamu, Akiacha utajiri Wake wote kwa mwanadamu.
Anapanda mbegu ya uzima Wake ndani ya shamba la moyo wa mwanadamu,
Akipanda maisha Yake yote kati ya mwanadamu, Akipanda maisha Yake yote kati ya mwanadamu.
Mungu anamwachia mwanadamu kumbukumbu za milele, Akiacha nyuma upendo Wake wote.
Anatoa yote ambayo mwanadamu anathamini Kwake juu ya mwanadamu.
Mungu tayari ametoa ukamilifu Wake juu ya binadamu,
mwanadamu anaweza kuwa na malalamishi gani?
Yeye anatoa (anatoa) maisha Yake yote kwa binadamu.
Bila neno,a binadamu.
Hajawahi kutoa madai yoyote ya usawa kwa mwanadamu,
daima ameridhia mipango ya mwanadamu,
na kuumba kesho inayopendeza zaidi kwa binadamu.
kutoka katika "Maono ya Kazi ya Mungu (1)" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tufuate: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? Sikiliza zaidi nyimbo za injili

0 意見:

Chapisha Maoni