Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Waaminifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Waaminifu. Onyesha machapisho yote
Jumatano, 1 Agosti 2018
Shahidi uzoefu wa Kanisa la Mwenyezi Mungu | Watu Wasio na Hila Sio Lazima Wawe Waaminifu
Cheng Mingjie Jiji la Xi'an, Mkoa wa Shaanxi
🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻
Mimi hujiona kuwa mtu wa aina ya kuwa wazi na mchangamfu. Mimi huzungumza na watu kwa njia ya waziwazi; chochote ninachotaka kusema, mimi husema—mimi sio aina ya mtu wa kuzungukazunguka. Katika kuingiliana kwangu na watu mimi huwa ni mwaminifu na wazi kiasi. Mara kwa mara, mimi hudanganywa na kudhihakiwa kwa sababu ya kuwaamini wengine kwa urahisi. Ilikuwa tu baada ya kuanza kwenda kanisani nilipopata mahali ambapo ningepaita pangu. Nilijiwazia mwenyewe: