Jumamosi, 26 Januari 2019

Jinsi Mwanadamu Anavyopaswa Kutembea Katika Njia ya Mungu

I
Kutembea katika njia ya Mungu hakuhusu kufuata sheria.
Kunahusu kuona vitu vyote kama vilivyopangwa na Mungu,
jukumu lililowekwa kwako,
kitu kilichoaminiwa kwako, majaribu yaliyotolewa na Yeye.
Kutembea katika njia ya Mungu. Mwenye hadhari kutomkasirisha Mungu Mwenyewe kamwe.
Kamwe usiikosee tabia ya Mungu.
Kutembea katika njia ya Mungu. Kutembea katika njia ya Mungu.
II
Unapokabiliana na kitu, unapaswa kuwa na kiwango,
ukijua kwamba kinatoka kwa mkono wa Mungu. Oh ...
Kutembea katika njia ya Mungu. Mwenye hadhari kutomkasirisha Mungu Mwenyewe kamwe.
Kamwe usiikosee tabia ya Mungu.
Kutembea katika njia ya Mungu. Oh, kutembea katika njia ya Mungu.
Oh ... lo ... Oh ... lo ... Oh ... lo ...
III
Lazima ufikirie jinsi ya kukabiliana na suala hili,
kutimiza wajibu wako na kuwa mwaminifu Kwake, Kwake.
Kutembea katika njia ya Mungu. Mwenye hadhari kutomkasirisha Mungu Mwenyewe kamwe.
Kamwe usiikosee tabia ya Mungu.
Kutembea katika njia ya Mungu. Eh, kutembea katika njia ya Mungu.
Lo … kutembea katika njia ya Mungu. Kutembea katika njia ya Mungu.
Oh ... lo ... Oh ... lo ... Oh ... lo ...
kutoka katika "Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tufuate: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? Sikiliza zaidi nyimbo za dini

0 意見:

Chapisha Maoni