
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ushuhuda-wa-Washindi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ushuhuda-wa-Washindi. Onyesha machapisho yote
Ijumaa, 6 Aprili 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ujana Uliotumiwa Bila Majuto

3. Ujana Uliotumiwa Bila Majuto
Xiaowen, Chongqing
"Upendo ni hisia safi, safi bila ya dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au vikwazo au umbali. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Ukipenda...
Alhamisi, 5 Aprili 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kutoka kwa Mateso Kunatoka Harufu Nzuri ya Upendo

4. Kutoka kwa Mateso Kunatoka Harufu Nzuri ya Upendo
Xiaokai, Mkoa wa Jiangxi
Mimi ni mwanamke wa kawaida wa mashambani, na, kwa sababu ya dhana ya kikabaila ya kuthamini tu watoto wa kiume, sikuweza kuinua kichwa changu mbele ya wengine kwa ajili ya aibu ya kutozaa mtoto...
Jumapili, 1 Aprili 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe

2. Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe
Dong Mei, Mkoa wa Henan
Mimi ni mtu wa kawaida. Niliishi maisha ya kawaida. Kama wengi wanaotamani sana mwanga, nilijaribu njia nyingi kutafuta maana ya kweli ya uwepo wa wanadamu, nikijaribu kuyapa maisha yangu umuhimu zaidi....
Jumanne, 13 Machi 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi

1. Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi
Yang Yi, Mkoa wa Jiangsu
Mimi ni Mkristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Nimekuwa mfuasi wa Mwenyezi Mungu kwa zaidi ya miaka kumi. Katika wakati huu, kitu kimoja ambacho sitawahi kusahau ni taabu mbaya sana...