Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Upendo wa Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Upendo wa Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 2 Machi 2019

Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa

Kijiji cha kishamba kilichojikokota kimaendeleo, wazazi wangu waliochoka kwa sababu ya kazi zao, maisha ya shida za kifedha … kumbukumbu hizi za huzuni zilitia alama kwa mawazo yangu machanga, zilikuwa ni hisia yangu ya kwanza ya “majaliwa...

Ijumaa, 1 Desemba 2017

Roho Ya Majivuno Kabla ya Kuanguka | Kanisa la Mwenyezi Mungu

7. Roho Ya Majivuno Kabla ya Kuanguka Baixue Mji wa Shenyang Kwa sababu ya mahitaji ya kazi, nilihamishiwa hadi sehemu nyingine ya kazi. Wakati huo, nilikuwa na shukurani sana kwa Mungu. Nilihisi kwamba nilikuwa ninapungukiwa sana, lakini kwa njia ya ukuzwaji mtakatifu...

Alhamisi, 16 Novemba 2017

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Kama Nisingeokolewa na Mungu

Kama Nisingeokolewa na Mungu I Kama nisingeokolewa na Mungu, ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu, nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi; kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio. Kama nisingeokolewa na Mungu, bado ningekuwa nimepondwa chini ya miguu...

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu

Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu I Mandhari iliyochorwa katika Biblia "Amri ya Mungu kwa Adamu" ni ya kugusa na yenye kutia moyo. Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu, uhusiano kati ya hao wawili ni wa ndani sana tunaanza kuhisi mshangao, mshangao...

Upendo wa Mungu Huushinda Moyo wa Mwanadamu | "Wimbo wa Kifuasi cha Dhati" Video Rasmi ya Muziki

Wimbo wa Kifuasi cha Dhati Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili. Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli. Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote. Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana. Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili. Anayoyasema,...

Jumapili, 12 Novemba 2017

Upendo wa Mungu | "Kama Nisingeokolewa na Mungu" | Swahili Gospel Music Video

Kama Nisingeokolewa na Mungu I Kama nisingeokolewa na Mungu, ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu, nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi; kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio. Kama nisingeokolewa na Mungu, bado ningekuwa nimepondwa chini ya miguu...