Jumapili, 13 Januari 2019

Umeme wa Mashariki | Njia ya Kujua Mamlaka ya Mungu

Umeme wa Mashariki | Njia ya Kujua Mamlaka ya Mungu

I
Ujuzi wako wa mamlaka ya Mungu,
nguvu Zake, utambulisho na kiini
haviwezi kufanikishwa au kupatikana
kutokana na mawazo yako.
Usifikiri, haimaanishi usifanye chochote,
au kaa tu na kusubiri uharibifu.
Inamaanisha usifahamu kutumia mantiki,
wala kujifunza kupitia maarifa au sayansi.
Katika kula, kunywa, kupitia maneno ya Mungu na ushirika,
utapitia na kuthibitisha mamlaka ya Mungu,
na kupata ufahamu taratibu na ujuzi wake.
Hii ndiyo njia ya pekee, hakuna njia za mkato.
II
Kupitia kwa maneno Yake, ukweli, yote unayokabiliwa nayo katika maisha,
fahamu, thibitisha, hakikisha
Mungu unayemwamini ana mamlaka
na mamlaka juu ya hatima yako,
ujue kwamba nguvu Zake wakati wote
humthibitisha kuwa Mungu wa kweli Mwenyewe.
Ni njia pekee ya kumwelewa Mungu,
njia pekee ya kumwelewa Mungu.
Katika kula, kunywa, kupitia maneno ya Mungu na ushirika,
utapitia na kuthibitisha mamlaka ya Mungu,
na kupata ufahamu taratibu na ujuzi wake.
Hii ndiyo njia ya pekee, hakuna njia za mkato.
Hii ndiyo njia ya pekee, hakuna njia za mkato.
Hii ndiyo njia ya pekee, hakuna njia za mkato.
kutoka katika "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza zaidi: nyimbo za dini

0 意見:

Chapisha Maoni