Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-Anamwokoa-Mwanadamu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-Anamwokoa-Mwanadamu. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 16 Juni 2019

Latest Swahili Gospel song 2019 “Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa” (Lyrics)

Latest Swahili Gospel song 2019 “Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa” (Lyrics) I Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa; kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi. Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia, ni lazima...

Jumatatu, 23 Julai 2018

Wimbo wa wokovu | “Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa” | Wema wa Mungu

Wimbo wa wokovu | “Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa” | Wema wa Mungu Utambulisho     Kanisa la Mwenyezi Mungu | Nyimbo za wokovu | "Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa" | Wema wa Mungu I Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu,...