Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tabia ya Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tabia ya Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 14 Januari 2019

Mungu Humtendea Mwanadamu kama Mpendwa Wake Mkuu

I Mungu aliwaumba binadamu; ikiwa mwanadamu amepotoshwa au kama anamfuata, Mungu huwachukulia binadamu kama wapendwa, au kama mwanadamu anavyoweza kusema, jamaa Yake mpendw...

Jumamosi, 18 Novemba 2017

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake Mwenyezi Mungu alisema, Kwanza, hebu na tuuimbe wimbo wa kumsifu Mungu: Wimbo wa Ufalme (I) Ufalme Umeshuka katika Ulimwengu Kisaidizi ala cha muziki: Watu wanashangilia Mungu kwa furaha, watu wanamsifu Yeye, sauti...