Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo sahihi-wa-wokovu-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo sahihi-wa-wokovu-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 9 Machi 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Fumbo la Kupata Mwili (1)

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Fumbo la Kupata Mwili (1) Katika Enzi ya Neema, Yohana alimwandalia Yesu njia. Hangeweza kufanya kazi ya Mungu Mwenyewe ila alitimiza tu kazi ya mwanadamu. Ingawa Yohana alikuwa mtangulizi wa Bwana; hangeweza kumwakilisha Mungu; alikuwa tu...

Jumatano, 9 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Siri Zilizofichwa Nyuma ya Ukimbizaji

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Siri Zilizofichwa Nyuma ya Ukimbizaji Li Li     Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong Sio muda mrefu uliopita, nilitiwa moyo na Mungu na kupandiswa cheo kuwa mfanyakazi wa eneo. Siku moja, nilipokuwa nimekusanyika na wafanyakazi wenzangu, sikuweza kujizuia kufikiria mwenyewe: ni lazima nifanye vyema. Ningetimiza...