Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 16 Mei 2019

2. Kuna uhusiano gani kati ya kila hatua ya kazi ya Mungu na majina Yake?

IV. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Mungu na Majina Yake 2. Kuna uhusiano gani kati ya kila hatua ya kazi ya Mungu na majina Yake? (1) Umuhimu wa Mungu kuchukua jina la Yehova katika Enzi ya Sheria Aya za Biblia za Kurejelea: “Na Mungu akasema zaidi kwa Musa, Utawaambia hivi wana wa Israeli,...

Ijumaa, 1 Februari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Kanuni ya Kazi Ya Roho Mtakatifu

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Kanuni ya Kazi Ya Roho Mtakatifu I Roho Mtakatifu hafanyi kazi inayoegemea upande mmoja, na mwanadamu hawezi kufanya kazi peke yake. Mwanadamu hufanya kazi pamoja na Roho wa Mungu. Hufanywa na wote pamoj...

Jumatano, 30 Januari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Majaribu Yanahitaji Imani

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Majaribu Yanahitaji Imani I Majaribu yanapokuja watu wanaweza kuwa dhaifu, hisia hasi zinaweza kuinuka ndani yao. Wanaweza kukosa uwazi kwa mapenzi ya Mungu au njia iliyo bora zaidi kwao kutend...

Jumanne, 29 Januari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Mungu Anatarajia Imani ya Kweli ya Mwanadamu

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Mungu Anatarajia Imani ya Kweli ya Mwanadamu I Mungu daima humchukulia mwanadamu kwa kiwango kikali. Ikiwa uaminifu wako unakuja na masharti, Hataki hiyo yako unayodai kuwa imani. Mungu huwachukia watu wanaomdanganya kwa makusudi na kumsihi kwa mahitaj...

Jumapili, 27 Januari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Jitoe Kikamilifu Kwa Kazi ya Mungu

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Jitoe Kikamilifu Kwa Kazi ya Mungu I Roho wa Mungu anafanya mambo mazuri sasa. Kazi Yake kati ya Mataifa imeanza. Kufanya kazi haraka na kwa ufanisi, Anagawanya viumbe vyote kwa aina. Itoe nafsi yako yote kwa kazi Yake yot...

Ijumaa, 25 Januari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Yajaze Maisha Yako na Neno la Mungu

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Yajaze Maisha Yako na Neno la Mungu I Kuanzia siku hii kuendelea, unapozungumza, zungumzia maneno ya Mungu. Mnapokusanyika pamoja, acha iwe ushirikiano katika ukweli, zungumza kuhusu yale unayoyajua juu ya neno la Mungu, zungumza juu...

Jumatano, 23 Januari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Desturi wa Kuwa Mtulivu Mbele Ya Mungu

 Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Desturi wa Kuwa Mtulivu Mbele Ya Mungu I Unapokuwa unazungumza na wengine ama kutembea, unasema, "Moyo wangu uko karibu na Mungu. Silengi vitu vya nje." Basi u mtulivu mbele ya Mungu. Usikutane na vitu ambavyo vinauvuta moyo wako nj...

Jumapili, 20 Januari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Kile Ambacho Mungu Anakamilisha Ni Imani

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Kile Ambacho Mungu Anakamilisha Ni Imani I Imani kuu, upendo mkubwa vinahitajika kutoka kwako katika kazi ya siku za mwisho. Unaweza kujikwaa kama wewe si mwangalifu, kwa sababu kazi hii sio kama awali. Kile ambacho Mungu anakamilisha ni imani ya wanadam...

Jumamosi, 12 Januari 2019

Mabadiliko Katika Tabia Hayatengani na Maisha Halisi

Katika kumwamini Mungu, ikiwa mtu anatamani kuwa na mabadiliko, basi haipaswi kujitenga mwenyewe kutoka kwa maisha halisi ambayo yeye yumo ndan...

Ijumaa, 11 Januari 2019

Ufalme Wote Washangilia

I Dunia nzima inaporudi kwa Mungu, Kazi Yake ulimwenguni kote inafuata sauti Yake. Watu watatumia njia nyingi kupokea maneno Yake. Wote wakaribia na kumwabudu Mungu. Hizi zitakuwa kazi za Mungu. Mungu hataanza tena kamwe mahali pengin...

Alhamisi, 10 Januari 2019

Mahitaji ya Mwisho ya Mungu kwa Mwanadamu

I Ikiwa wewe ni mtendaji huduma, unaweza kumhudumia Mungu kwa uaminifu, bila kuwa mwenye kukaa tuau kutenda tu bila kuwa na dhati? Ukigundua kuwa Mungu huwa hakushukuru, bado utaweza kukaa na kufanya huduma maisha yot...

Jumatano, 9 Januari 2019

Umeme wa Mashariki | Matamanio ya Pekee ya Mungu

I Utukufu wa Yehova, ukombozi wa Yesu, na matendo yote ya Mungu leo, ndiyo unayoyaona leo. Maneno ya Roho wa Mungu umeyasikia, Hekima Yake na ajabu Yake, Tabia Yake umeijua, Mpango Wake wa usimamizi umeambiw...

Mwanadamu Mwenye Uoza Anawezaje Kuishi katika Mwanga

I Mwanadamu yu mbali zaidi na mwenye kumpinga Mungu kwa kuwa mwanadamu amezaliwa katika nchi iliyo chafu, ameharibiwa na jamii, ametawaliwa na maadili ya kikabaila, na kufunzwa katika "shule za elimu ya juu;" moyo wa mwanadamu umevamiwa, dhamiri kushambuliwa na mawazo ya nyuma, maadili mapotovu, falsafa mbaya, uhai bure, desturi, maisha...

Jumanne, 8 Januari 2019

Enzi Tofauti, Kazi Tofauti ya Mungu

Katika siku za mwisho, hasa ni ukweli kwamba "Neno linakuwa mwili" ambalo limetimizwa na Mungu. I Kupitia kazi Yake halisi duniani, Mungu humfanya mwanadamu kumjua, humfanya mwanadamu kushiriki naye, na humfanya mwanadamu aone matendo Yake halis...

Jumatatu, 7 Januari 2019

Umeme wa Mashariki | Walio Gizani Wanapaswa Kuinuka

I Kwa maelfu ya miaka, hii imekuwa nchi ya taka, chafu sana, taabu imesheheni, na pepo wakitangatanga kwa kila pemb...

Ijumaa, 4 Januari 2019

Ukweli wa Matokeo ya Kupotoshwa kwa Mwanadamu na Shetani

I Kwa miaka mingi sana mawazo ya watu ambayo wameyategemea ili kuishi yameiharibu mioyo yao na yamewafanya waoga, wadanganyifu na wenye kustahili dharau. Hawana utashi au azimio, bali ni wenye tamaa, wenye kiburi, na wakaidi, dhaifu sana kupita mipaka ya nafsi au kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza, kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa...

Alhamisi, 3 Januari 2019

230. Dunia Yote Itashangalia na Kumsifu Mungu

I Ho~ ho~ ho~ ho~ Yule Mungu mmoja wa kweli ambaye huvitawala vitu vyote katika ulimwengu —Kristo mwenye uweza! Huyu ni shahidi wa Roho Mtakatif...

Jumanne, 1 Januari 2019

169. Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

Ⅰ Kwa kuwa Mungu alimwokoa mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa; kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi. Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu, kwa kuwa Anamsimamia mtu, Ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadam...

Jumatatu, 31 Desemba 2018

136. Kiini na Tabia ya Mungu Daima Vimekuwa Wazi kwa Binadamu

Ⅰ Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu, Amekuwa akifichua kwao Kiini Chake na kile Alicho na Alicho nacho, bila kukoma, kila wakati. Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa, Mungu huzungumza na kufanya kazi ili kuonyesha tabia Yake na kiin...

Ijumaa, 28 Desemba 2018

24. Hakuna Anayeweza Kufanya Kazi Badala Yake

Ⅰ Kazi ya Mungu hufanywa na Mungu Mwenyewe. Ni Yeye ndiye Anayeianzisha kazi Yake, na ni Yeye anayeikamilisha. Ni Yeye anayeipanga kazi. Ni yeye ndiye anayeisimamia, na zaidi kuifanikisha kazi hiy...