
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kutoka-katika-Imani-na-Maisha. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kutoka-katika-Imani-na-Maisha. Onyesha machapisho yote
Jumapili, 10 Machi 2019
Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kufundisha Watoto Wangu (II)

Xiaoxue, Malesia
Siku moja baada ya mlo mkuu wa siku, nilimfundisha mwanangu mvulana mkubwa jinsi ya kusoma Kichina—maneno...
Jumamosi, 2 Machi 2019
Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa
Machi 02, 2019kutoka-katika-Imani-na-Maisha, neno-la-Mungu, Upendo wa Mungu, Vitabu, Wokovu-wa-MunguNo comments


Kijiji cha kishamba kilichojikokota kimaendeleo, wazazi wangu waliochoka kwa sababu ya kazi zao, maisha ya shida za kifedha … kumbukumbu hizi za huzuni zilitia alama kwa mawazo yangu machanga, zilikuwa ni hisia yangu ya kwanza ya “majaliwa...
Ijumaa, 1 Machi 2019
Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)
Machi 01, 2019kutoka-katika-Imani-na-Maisha, maneno-ya-Mungu, Mapenzi-ya-Mungu, ukweli, VitabuNo comments


Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I) ...
Jumatatu, 25 Februari 2019
Mama wa "Vijijini" Akutana na Binti Mkwe wa "Mjini"
Februari 25, 2019kutenda-ukweli, kutoka-katika-Imani-na-Maisha, neno-la-Mungu, Ushuhuda, VitabuNo comments


Mama wa "Vijijini" Akutana na Binti Mkwe wa "Mjini"
Liu Jie, Hunan
Maoni...
Jumamosi, 23 Februari 2019
Ni Nini Maana ya Krismasi, na Je, Unamwabudu Bwana Yesu Kweli?
Februari 23, 2019Bwana-Yesu, Kupata-Mwili, kutoka-katika-Imani-na-Maisha, maneno-ya-Mungu, VitabuNo comments


Na Siyuan
Vyanzo vya Krismasi
Kila mwaka, Krismasi inapokaribia, maduka kwenye mitaa hutayarisha maonyesho yang’aayo ya zawadi za Krismasi, pamoja na Baba Krismasi na miti ya Krismasi, na kadhalika. Kuna taa nyingi za rangi nyingi zilizoning’inizwa katika miti na kwenye...
Ijumaa, 22 Februari 2019
Baada ya Usaliti wa Mumewe Mungu Alimuokoa Kutoka kwenye Fadhaa ya Uchungu

Na Ouyang Mo, Mkoa wa Hubei
Baada ya miongo miwili ya mema na mabaya ambayo yeye na mumewe walipitia pamoja, hakuwahi kamwe kufikiria kwamba mumewe angekuwa na uhusiano wa nje ya ndoa. Alishindwa kabisa kuvumilia wakati alipogundua hil...
Jumatano, 20 Februari 2019
Ushuhuda wa Mkristo: Jinsi Alivyoshinda Majaribu ya Kuwa na Mpenzi wa Siri (Sehemu ya 2)

Na Xiyue, Mkoa wa Henan
Katika siku chache zilizofuata, ingawa Jingru hakuwa ameanguka katika majaribu ya Shetani na alijua kwamba hangeweza kuwa mwenzi wa Wang Wei kamwe, mkutano wake na Wang Wei jioni hiyo na ungamo lake la kweli vilirudiwa akilini mwake tena na...