Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Muziki wa Akapela. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Muziki wa Akapela. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 22 Novemba 2017

Toeni Nyimbo za Sifa kwa Mungu | Muziki wa Akapela "Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote"

Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote La … la la la … la la la…. La … la la la … la la la … la…. Jua la haki lapanda kutoka Mashariki. Ee Mungu! Utukufu wako hujaza mbingu na dunia. Mpenzi mrembo, upendo Wako huzingira moyo wangu. Watu wanaofuatilia ukweli wote...